kwikwi ya kulogwa ndo inaua ila kwikwi nayoijua mm haiwezi kumuua mtu kwikwi ni kitu cha kawaida hasa kwa watoto wachanga coz husaidia kutanua kifua upo🤔
2026-07-21 12:39:15
5
mwajabu musa :
nakwikwi huwa inakuja mtu anapokuwa kwenye sakaratul mauti,hakuna ugonjwa huo kabisa kwa mtu kuumwa mwezi mzima,asilimia kubwa hii uja kipindi Cha mwisho wa uhai,kwa baadhi ya watu.au Kuna ugonjwa huo jamani,maana Mimi sijawahi kusikia mtu akiumwa ugonjwa huo.naombeni mnielekeze na chanzo chake ni nn,na tufanye nn ili kujiepusha na ugonjwa huo.
2026-07-21 07:55:49
2
Alex Ibrahim :
chief ni moja tu 💪
2026-07-21 06:22:34
1
Zuwjat :
Mie ndoshida yangu
2026-07-21 15:46:40
0
MAGOA TIBA ASILIA :
nakubali
2026-07-21 06:42:13
1
ramsramso65 :
je dawa ya mtoto mwenye kigugumizi
2026-07-21 11:10:57
1
Amina@mina💕 :
Baba yangu anaumwaga kwikwi mpaka sauti inakauka mpaka namwonea huruma
2026-07-21 12:42:54
1
Lilian alfred :
alikufa shemeji yake na rafiki angu jamani🥺🥺🥺
2026-07-21 11:34:00
0
DR LIPULIPU :
nakubar kaka
2026-07-21 06:15:49
1
Tuluyao :
Ni lazim awe ndege wa njano au yoyote??
2026-07-21 18:16:29
0
user1139113263009 :
mkuu naomba unionyeshee kifuu kinaonekanaje na mti wa msegese mi niko shinyanga
2026-07-21 04:09:04
0
THUSH RAJJ :
kwikwi ni ugonjwa gani
2026-07-21 09:48:50
0
hawa :
hii ilomkutaga kaka yangu,, nibahati mama lienda kusalimia huko akamkuta anahali hio bila mama sijui ingekuwaje
2026-07-21 09:23:29
1
user997536697517ZENA :
kabisa walah apo nakupa 💯
2026-07-21 19:07:16
0
Jamila ayubu :
🥰 asate bloo
2026-07-22 16:17:18
0
nasra rashidi :
dawa ya u.t.i inayojirudia rudia
2026-07-21 21:18:05
0
sherry🧿🧿🇹🇿🇹🇷 :
Mimi piya wifi yangu imemuua🥹
2026-07-21 11:24:23
0
da jaa brand💞💞💞💞 :
nakubali maalam
2026-07-21 08:10:22
0
alialiathuman :
Chief malam naomba unisaidie dawa..mtoto wangu ana miaka mbili saii na nusu,, Kila usiku kama yutaka kulala yuanguruma sana na kubabaika ndo alale
2026-07-20 23:38:07
0
William Mtambo :
hh
2026-07-23 18:02:50
0
choosen1 by God🦋🧚♀️ :
heee kumbe kwikwi ni ugonjwa
2026-07-21 08:51:43
1
Mabula Bunzali :
ok samahan mm kama mm kaka mm nimsukuma nirishakufatiria sanareo nimeamua nawenikuurise kitusikwaubayarakin nikwawematu jee ktk dawaunazokuwa unatuerekeza ss jee ww unapatafaidagan natakanijue kutokakwako kaka sababu dawazako zoteniza uhakikazote