daaa popote walipo Diana. lehema Naa mage nawakumbuka sana na mlikuwa hamjuani
2026-07-23 04:41:17
12
Sammy cute ♥️ :
amefariki jaman naumia sana nikisikia hii nyimbo 😭
2026-07-21 17:02:29
10
abdallahsalumu5 :
mtu ambae nilikuwa nampenda nampaka leo nampenda alikuwa anaitwa warda said ngenje nilimpenda sana
2026-07-21 04:52:56
13
renah💞 :
nilikuwa nao watatu ally, rama na feisal ila ally tulipendana sana😭
2026-07-21 15:30:43
7
Official🍫🍫 :
alikuwa anaitwa joel
2026-07-23 06:44:12
0
🦋Mellon_87💋🥰 :
Me nampenda hadi Leo sema yeye anaona ilkuwa ni utoto tu daa 😌😌
2026-07-22 21:46:33
2
J official45 :
mbona hakunitaja Mimi et amemtaja monita, daaah🫣🫣
2026-07-23 08:40:25
2
NATURE-HIMSELF :
Cham Jr Anamoyo wa pekee mshikaji anapenda kusupport wana wa single wadogo wadogo achagui ipo siku mshikaj atafika mbali kungekuwa na tuzo za Best supporter Wa singeri huyu mshikaj angepaswa kupewa
2026-07-22 15:07:35
10
mimashkah🐺🦋 :
charmiy ngoma imemkosha😂😁
2026-07-21 02:30:51
12
ㅈKOHAKOㅈ :
wanaosema mchumba ni "maryam"gonga like 😁🥰
2026-07-21 13:21:21
12
l y :
z
2026-07-21 17:08:12
0
MUDY NEYMA SAIDI 0-0= :
mwalimu zaiii popote ulipo nakupenda
2026-07-22 08:39:07
4
Alvin 🏍️🏍️ :
mm nilikuwa sina
2026-07-22 19:45:56
2
🌸ms~hyper💞💫 :
duuuh wengn hatujui hat mapenz ndo nn labd form 3 ndo nikaanza kujua ila sina mtu naona mrfk angu wana wapenz
2026-07-21 17:20:08
3
Mukiddy :
Hafsa ulinichanganya sana
2026-07-23 21:08:01
1
To see more videos from user @midofocustv, please go to the Tikwm
homepage.