@aznasmusic: @cado kitengo 🔥🔥LEO TUNASHUHUDIA HISTORIA 📜 Beat hii imepitia mikono ya mabingwa: @Nikki Mbishi → @Azma Mponda → @black queen Na leo inafungwa na moja ya wakali zaidi: **. @cado_kitengo - MTAFUTAJI** 🏆 Project yake ya #Aznas40Bars ipo nje SASA! Cadokitengo ni miongoni mwa Emcee bora na Freestyler wakali nchi hii iliyowahi kuwahi kuwa nayo. Staili, punchlines, flow... kila kitu kipo. **JUKUMU LETU NI MOJA:** Tazama, Comment, Share na SUBSCRIBE ili talent ya nyumbani ipate nguvu 💪 Link bio 👆 Kwa kazi za ubora: Printing: @aznas_printing Recording: @aznas_media Digital: @aznas_link #SupportBongoMusic #Aznas40Bars #Cadokitengo #Mtafutaji HipHopTz