mbona wanasema ukitumia face cream lazima upoze ngozi Hadi tunaogopa
2026-07-31 03:18:13
1
Amley001😍 :
Na vitamin b3 fac crm je
2026-07-21 06:14:53
6
Aasiya Kitwana :
Napenda ukisema ayu tugeza
2026-07-21 20:13:56
3
miss amy :
Me natumia miracle grow lakini saivi inaniweka tuchunusi niache kutumia
2026-07-30 22:11:28
0
user7177700541437 :
hii vipi tutumie au ni kibom
2026-07-21 11:01:53
1
baby drama❤️💕 Fine girl❤️🦋 :
mwanetu me natoka weus chin ya macho jaman na nikitumia serum unaisha alaf serum ikiisha weus unarud nambie bac kitu kitu kinachoyatoa mazima na nipate roshen ya kunipa unjano uson😭
2026-07-21 22:07:22
1
Sinally :
Ngoz ya mafuta haifai
2026-07-22 11:43:44
1
Latifah Yahaya :
collagen nayo inafaa
2026-07-21 15:11:43
1
Nasra :
dr ya kuondoa white dots
2026-07-21 06:12:25
1
mdeckline :
Nakupenda sana yan natamani ilo darasa tungekuwa live to live jmn
2026-07-25 17:48:07
1
its#£ Rey🎖️ :
glow melanin ni nzuri Sana imenisaidia
2026-08-07 07:39:13
0
Latifah Yahaya :
mbona hujawahi kunijibu kuna shida gani
2026-07-21 15:11:16
1
Shiroflo🌹 :
wenye tuko Kenya Tutazipata aji brother huku tunateseka sana..
2026-07-24 20:41:12
0
blessed :
acne and sports control cream ikoje doctor
2026-07-31 07:41:10
0
user3018543014182 :
Gold Skin Bei gani?
2026-08-05 20:17:05
0
Zaeyuh Zaeyuh :
Glow oil na Helena n bei gan
2026-08-05 18:27:31
0
irene givencom :
Amara je
2026-08-02 21:15:35
0
JUDY💚 :
weka bei jamani
2026-08-07 14:50:44
0
Rahma :
vp kuhusu Rapid grow
2026-08-07 09:04:48
0
To see more videos from user @akichwali_255, please go to the Tikwm
homepage.