@masud.yusufsonda: "Epukeni DHAMBI Saba zenye KUANGAMIZA." Masahaba wakauliza, "Ewe Mjumbe wâ Allāhﷻ, ni zipi hizo?" Akajibu; ❝Kumshirikisha Allāhﷻ, Uchawi, Kuua Nafsi ambayo Allāhﷻ ameiharamisha isipokuwa kwa Haki, Kula Riba, Kula Mali ya Yatimah, Kukimbia kutoka Uwanja wâ Vita na Kuwasingizia Uzinzi Wanawake waumini walio safi.❞ •`Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim • Qur'ân; 57:18 Hakika, Wanaume wanaotoa Sadaka na Wanawake wanaotoa Sadaka na Wale waliomkopesha Allāhﷻ Mkopo mwema – WATALIPWA mara Dufu na watapata ujira Mtukufu. إِنَّ ٱلْمُصَّدِّقِينَ وَٱلْمُصَّدِّقَـٰتِ وَأَقْرَضُوا۟ ٱللَّهَ قَرْضًا حَسَنًۭا يُضَـٰعَفُ لَهُمْ وَلَهُمْ أَجْرٌۭ كَرِيمٌۭ ١٨ ♦Hakika, Tukithirishe katika kutoa Sadaka kwa Yatimah, kwani hata Mtukufu wâ Daraja, Mtume Mūhâmmād [Sâllā Allāhu Alâyhi wâ Aâlihi wâ Sallām] Alikuwa ni Yatimah. Hivyo kuwajali Yatimah kwa kutaraji Radhi za Allāhﷻ, kuna Malipo makubwa hapa Duniani & Kesho Akhera - In Shaa'Allāh.
Mâs'ūd Yùsūf Sondâ
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 04:18:32 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @masud.yusufsonda, please go to the Tikwm
homepage.