@radhiyallahuanhuma:

Abdullah bin Abbas
Abdullah bin Abbas
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 04:30:38 GMT
12425
315
43
37

Music

Download

Comments

aishamussa672
aishamussa672 :
Ushauri wangu kwa hao mashekhe ,Na hii suna ya mtume ya kuowa wake waengi wasiendekeze madhara yke ndio hayo kuowa wanawake wasio na maadili hebu wafate suna nyingine.
2026-07-21 11:34:33
7
tamashaissa19
masha :
haikupaswa kumtoa shekhe ghafla km walivyomfanyia ni km waliandaa hilo jambo
2026-07-21 10:32:18
5
user8415681030776
user8415681030776 :
TULIOKUWA HATUJUI KIREFU CHA DNA TUPOOOOO
2026-07-21 16:24:53
1
user48411053482543
KHADIJA❣️💝💞 :
Yani leo ndio nmesikia maneno ambayo yameniridhisha moyo wangu mungu akubarik na akutangulie popote ulipo
2026-07-22 10:52:25
1
jaula875
jaula875 :
bakwata wanahusika na hili?
2026-07-21 11:01:44
0
bigmcg7
Big MCG 🎵🎵 :
uko sawa sheikh mola mola akuweke
2026-07-21 11:08:11
2
ammohammed27
canal muammar :
naungana na ww kabisa kwa utafiti wako
2026-07-21 08:07:46
1
bakundukize0
user7212624083795 :
mungu amsameh .anawatu wanampa nguvu
2026-07-22 14:56:59
0
ishannassoro
ishan dressing point📍 :
MUNGU akubalik san🙏
2026-07-22 10:34:59
0
shabani.mabwe
Shabani Mabwe :
kaka uko vizuri sana safi kabisa
2026-07-22 09:58:57
1
user8441390376075
user8441390376075 :
nifitna hiyo walikua wamtaftia sababu
2026-07-22 12:14:04
0
yasmy.faki
Yasmy Faki :
kwwr shekhe yupo sahihi mimi namuunga mkono bakwata walikulupuka
2026-07-22 12:37:17
0
user37452280851983
Zaynab :
aa
2026-07-21 20:04:54
0
ghostwizard3
Ghost{ff}max :
natamani sijuwi niufanyeje ule msikiti kila mtu tukose
2026-07-21 19:25:16
0
user2607994925916
user2607994925916 :
upo sahihi shekhe nikweli mtupu
2026-07-21 18:04:28
0
jemedar.mohamed4
Jemedar Mohamed :
sheikh Bakoz au sheikh wangu umegusa ndipo, hawakutumia kanuni hitajika katika hilo suala, kisha walihukumu kabla ya utafiti kisha wanaleta tume ya utafiti saii baada ya kuhukumu,, kanuni na sheria zote duniani zakataa,tuhuma haihukumiwi juu Kwa juu mpaka ithibiti dalili kamili ya hizo tuhuma
2026-07-21 17:25:38
0
sophia.msumi5
Sophia Msumi :
kabsaaa
2026-07-21 08:00:25
0
ghostwizard3
Ghost{ff}max :
kweli kabisa
2026-07-21 19:23:55
0
azizaalli89
azizaalli89 :
swafaktaaaa
2026-07-21 11:48:17
0
hajishemputa2
hajishemputa :
hiking chuma nakikubali sana
2026-07-21 12:42:56
0
halumii2
halumii2 :
swadakta upo sawa kabisa kabisa
2026-07-22 17:10:37
0
mngumi.smart.coll
MNGUMI SMART COLLECTIONS :
safi sana sheikh umeongea hisia za watu wengi sana umetuwakilisha sisi am ao hatujapata fursa ya kuongea na media
2026-07-22 14:09:04
0
ummuykhalid3
umu khalid :
bro umemaliza umeongea ukweli jabsa
2026-07-21 14:34:26
0
user5165874515481
Da Ray :
Asante kaka tumeumia sana
2026-07-21 16:15:02
0
tamashaissa19
masha :
kweli kbsa kakaangu
2026-07-21 10:29:47
0
To see more videos from user @radhiyallahuanhuma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About