@_zuzaism: Part 149 | Tunazungumzia jinsi maneno si sauti tu bali ni teknolojia ya uumbaji yenye nguvu ya kubadili muundo wa chembechembe na frequency ya seli zetu. Tunaeleza kuwa kila neno tunalotamka lina uwezo wa kujenga au kubomoa, na kwamba kwa kubadili lugha yetu tunaweza kubadili uhalisia wetu. Tunahimiza kutumia maneno kwa umakini na nia ili kuvutia matokeo tunayotaka, si kujiweka kwenye mzunguko wa chini wa nishati. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #words #positivity
mbona kama mimi nikisema tajiri utajili hauji ila nikisema mm masikini umasikini unakja ?? hapo imekaaje mkuu!!
2026-07-21 18:01:08
1
prof idid Mgiriki :
vipi kuhusu mabubu?😊
2026-07-21 18:27:40
3
B_B_H✌️😈 :
video km izi zinanifanya niamini mungu cuz vitabu vyote vya mungu viliongelea watu watakuja na kumkata yy sasa ni bora uamini utabir wakitabu cha miaka maelfu kuliko yoyote sasa
2026-07-22 08:54:21
3
pappayake mafresher :
hata huyomungu wavitabu inasemekana ariumba kwamaneno kwaio maneno tunayo tamka yanaumba au yanaweza kuharibu unachokiongea niuhakika👍🙏🇧🇮
2026-07-23 09:38:28
2
hancy :
kikwli una tufungua ubongo
2026-07-21 12:53:55
8
Mvamba Jr :
2026-07-21 12:59:31
2
Musa Mwaky :
The Great Thinker ☺️🔥
2026-07-24 14:07:35
3
Kenyatta_tz 🇰🇪🇹🇿 :
peace
2026-07-21 12:05:13
3
Mr oneness :
affirmation
2026-07-21 20:43:41
1
james mugambi :
kweri bro
2026-07-21 17:11:06
2
junior ps 14 :
hii ina ukweli kabisa
2026-07-21 15:41:15
2
Prosper, JN ✅️ :
Maneno yanaumba👏👏
2026-07-21 19:34:11
1
@issa.issa.salum2 :
👍✌️👍✌️👍🥰nakufatilia kutok burundi 🇧🇮
2026-07-21 16:22:47
2
hollokibishi :
Thanks
2026-07-21 12:58:28
3
CLOSET BANK :
Mimi Ni boss mkubwa sana!!!😂
2026-07-22 07:12:53
2
Peter kabango :
dah kaka 🤔🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
2026-07-21 20:33:11
1
E@MNDAMBA :
Hata NGUVU ya maombi huwa ni lazima uanze na kujisafisha Kwa kusamshe kisha Jenga Kwa akili safi na Kwa Imani
nakuelewa mnoooo
2026-07-21 16:14:40
3
STEVEN NP :
Balikiwa sana
2026-07-21 16:37:04
2
Never give up :
NAkukubali sana teacher
2026-08-04 20:16:53
0
user4985514085476 :
That is metaphysics few will understand
2026-07-28 11:05:56
1
Moses Mgimwa :
nimekuekewa
2026-08-02 15:41:19
1
SINDATO OLETIYA :
safi sana kaka
2026-08-01 06:25:05
1
ayubu26 :
kabisa
2026-08-04 17:42:24
1
Mr Fadhily :
Sorry Mr prophesa, Naomba kujuwa sources ya maneno yako.
2026-07-30 08:24:46
1
MSAJILI VYETI VYA KUZALIWA :
2026-07-21 12:59:22
2
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.