dadangu wamjua yesu:aah mi mgeni hapa kaulize kuleeeeee
2026-07-22 19:16:03
30
@zainab :
nmekufollow because of this😂😂 juu pia nmefika mombasa leo nasikia wanaitana jomba😂😂
2026-07-22 16:18:26
11
miss simon 🇰🇪 :
mimi siku ya kwanza nilienda pale likoni kupanda ferry kuingia hivi nikaaza kuuliza watu wanalipishaga pesa gapi,watu wote waliniangalia 😂😂nikasikia huyu katoka dala,sijawahi haibika hivo mwaishani mwangu 😭