ila IPO siku tutadai Misikiti iliyowekwa Bondi .na iliyouzwa tutadai irudi
2026-09-18 10:20:21
9
ABUU RAHMA :
tunampenda sana Shehk walid....
kwanza ni kipenz cha watu
pili anaelimisha watu
tatu ni mtu amabae akikwambia kitu kinakuingia sio muslamu wala mkristo
Mungu ampe umri mrefu azidi kuwapa watu elimu ya dini na kuwaongoza inshallah
2026-09-18 09:43:06
9
mk123 :
daa kwani alijua au aliwajua wakina bakwata
2026-09-19 10:08:49
2
Adam Mike 🇹🇿 :
Hakika huyu ni mjaa kweli wa mwenyezi mungu
2026-09-18 14:27:31
5
bundala rajabu :
alitabiri
2026-09-19 06:49:18
2
Alfaqeer :
Wamemkosea sana.
2026-09-18 22:00:43
3
Gegedu kib'rash :
shekh umemaliza hili upo swahihi
2026-09-18 09:10:54
3
user2565650500167 :
hii ndio ilhamu
2026-07-21 12:59:38
5
Farida Mohamed :
Na'am hakika baba
2026-09-18 11:49:54
1
{Mama ni Chuo} :
Shekhe walidi kipenzi chetu, baarakaLLAAHU.🤲🙏
2026-08-02 16:27:37
1
Rajy :
uko sahihi xn mwalimu Allah akuzidixhie umri lnxha Allah uzidi kutufunza
2026-08-02 19:10:37
4
MAALLIMU SHARIYFU MUFTI LEMBA :
Wachamungu hujulishwa baadhi yamambo kabla yukutokea mengine huyasema waziwazi namengine huyasema kwamifano ila ukitulia naukafatilia ndipoutagundua nautajua Wachamungu Mungu amewaficha ningumu kuwajua nawengiwao ukiwaona utaona niwatu wakawaida tu wenyemaisha yakawaida
2026-09-19 16:39:36
1
transport nssossolo :
Shehe walid Allah amjaliye
2026-09-18 11:12:40
1
ali :
swadaqta
2026-09-17 20:59:40
1
ZuuBrown :
Kweli maskini mungu alimpa maono haya yatakuja tokea Allah atakustiri sheeghe inshaalah
2026-09-19 19:21:16
1
Yassini G. S. m :
nikweli kabisa
🙏🙏🙏
2026-09-17 05:32:37
2
good :
kweli kabisa
2026-08-13 09:08:48
1
yumma12 :
2026-07-21 11:34:11
0
MR KANJU DECORATION :
[Starry hearts][Starry hearts][Starry hearts][Starry hearts] huyu wallah Allah ashaampenda
2026-09-18 19:34:52
1
RAY TZ...👊 :
ivi wa wazee au nitoke napanga niende nalo bakwata🥺🥺🥺
2026-07-21 08:47:48
1
@1980fum :
Sheikh walidi wwe ni Waliyii wa Mungu Ishara ni Maneno yako Mashallahu
2026-09-19 11:52:10
0
amina :
allwah akuhifadhi shekhe wetu inshallah
2026-09-21 10:50:04
0
user ma tomy :
unajua sana allah aendelee kukuongoza na kukupa busara zaidiii