@utaliitz: Nimeenda kuangalia makaburi ya waginjwa wangu miaka yote 🥺☹️🌍🪦📍🇹🇿 #kiswahili #tanzaniatiktok🇹🇿 #tanzania🇹🇿

MtaliiTanzania
MtaliiTanzania
Open In TikTok:
Region: CA
Tuesday 21 July 2026 05:23:19 GMT
422738
14117
924
1259

Music

Download

Comments

mzawa093
Mzawa Africa :
Mbona wagonjwa wako wanakufa sana kaka?
2026-07-21 08:01:25
525
mamafathma
MAMA FATHMA :
Kaka naomba nimlete Ex wangu…UTI sugu inamsumbua sana.🤦🏾‍♀️Naomba msaada wako kaka💔😭😭😭😭😭
2026-07-22 04:11:48
78
kevin.shega
Kevin Shega :
sis kipindi wadogo tuliambiwa tusinyooshe kidole makaburini
2026-07-21 11:04:29
402
mamadidi05
Foodnetwork Arusha01 :
We daktari wa nini tukuepuke baba yangu mzurii
2026-07-21 07:25:06
1161
kaburu335
kaburu :
kaburi limechimbwa kabla mtu hajafa duh!hatarii😳
2026-07-22 06:49:14
14
gs16134
GS🦋❤️ :
Ayo yalio bakia wazikwe adui zetu kwa jina la Yesu sema amina 🙏
2026-07-21 17:29:21
76
neemangonyan
neymarta :
Gudubaiiiiiii
2026-07-21 13:41:32
1
crackalvinimma
CRACK ALVIN IMMA :
daa r i p wote
2026-07-21 20:39:01
0
mlimbo1
magie :
nakataa maut kwa jina la yesu
2026-07-21 21:16:37
69
stezy927
miss💞soita✨️ :
nilikuja hospitali ukanitibu na sikupona nilifariki
2026-07-21 19:51:16
11
special.girl26
special girl :
doctor uko wapi nisijaribu ata ku comment tena kwa post ako 😳
2026-07-21 19:02:41
5
comrade_shibitali2
Comrade_Shibitali :
Mkuu ulishawahi tibu mtu akapona?
2026-07-22 02:21:08
5
t16gp
☆🅳🅰🆉🅾&🅞🅝🅔 🅖🅐🅜🅔 ➊➏/➑ :
UNASEMA NI WAGONJWA WAKO CNDIO
2026-07-21 11:10:02
13
chaupole28
🦋Lovie🌸♍️ :
mbn makaburi ni mengi kah
2026-07-21 12:22:58
8
nueljosure
@nueljosure :
khee doctor kwaiy mtu anakuja kutibiwa anakuta kabur lipo tayar
2026-07-21 12:54:40
45
lizy_baby21
Lizy_baby21 :
Wapi huko jaman tusije
2026-07-21 11:25:12
8
queen.rahma91
queen rahma :
Kwa jina layesu na kataa roho ya mauti
2026-07-21 20:18:40
20
ss_i_love_you
Sophia :
Kwanini wagonjwa wako wote wanafariki ni jibu chapu kabla sijachukua hatua ya kisheria😅
2026-07-21 10:06:19
144
helgankini
helgankini :
Hii post nimeona insta comments za insta na tiktok vitu viwili tofautiii 😂😂😂daktari akikaa tiktok ataacha kazi
2026-07-21 13:13:39
33
delly20026
DCHRISS 😉 1212 :
mmh tutakufatilia
2026-07-21 15:04:17
16
To see more videos from user @utaliitz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About