me alisema anapenda mwanaume mref mweusi nikajiongeza🤣🤣
2026-07-23 08:04:59
67
LIGHT ⭐️ :
c alitaka delivareeee😳 nikadeliivuuu
2026-07-23 16:35:24
1
Mrs daud bihita :
mmh aha kit tafadhali
2026-07-23 14:36:44
0
V :
alinivutia coz alikuwa na vitu vyangu
2026-07-23 09:52:41
23
Brilliant gal❤️ :
Alikuja kununua vivian plus saivi mimi ndo anti pain yake
2026-07-23 13:01:39
16
Maryam Dullah :
Sasa mtu alikuja kumnunulia mkewe nguo na mimi akanipa 100k ya lunch hata wewe ungekataa😂😂😂
2026-07-23 16:42:19
18
FØØTWÊÂR~BLÊ$$ TZ 👟 :
Aliomba namba yangu nimu add kwenye group la sendoz zangu ila…..more
2026-07-23 19:40:43
10
DULLY MSAFI💧💫 :
aliniita kpenz nikamuomba namba 😁😁😁
2026-07-23 12:12:40
17
Ms ester🦋🌸 :
nilikua muhudumu mzuri sana ikabid nimuudumie vitu vyote
2026-07-21 06:21:59
36
God's last born ❤️ :
ngoja niwasemee wazazi wangu Baba alikua anamuungisha mama mara kwa mara sasa sku moja Baba akamtoa Mama out kidogo ndo huo ukawa mwanzo wao 😁😁😁🫣
2026-07-23 16:47:24
5
Tatu sambo :
Nilikuwa namuuzia chai ya maziwa na chapat akanipenda mimi na chai
2026-07-23 14:23:48
11
painc💕🦋 :
post ijayo swali liwe ilikuaje boss akaw mume wako?
2026-07-23 16:38:02
5
ROSE NGUYU :
alikuwa anakula supu ya elf tatu kila ck na akinipa elf kumi anasema chenji ninywe soda,mwisho akachukua namba yangu,akija moro kikaz alikuwa anafikia gest hvo nikawa napeleka supu huko tukajikuta tumekuwa wapez
2026-07-21 15:18:58
38
SheisGee🎁 :
Nitarudi ni simuliee story yoote huwa sipendi kutoa story nusu nusu
2026-07-23 14:29:24
7
flygirl💖 :
wangu alikuwa anaijia eet sum mor, kila siku mpaka nikasema mteja nimepata! baadae akanambia nakujaga tu kwa ajili yako mwenyewe hii bidhaa dukani kwangu ipo!! kilichofata......
2026-07-23 14:26:25
24
sarahdimpoz♎️ :
alipenda juice naomba namba nikutumie hela badala ya 2000 kanitumia 10k kilichofata sasa au ngoja nije kwanza😂😂
2026-07-23 12:06:41
25
To see more videos from user @brownoutfitstore, please go to the Tikwm
homepage.