@chapchap.china_tz: Jamani kwa usawa huu kuna rate 328 yuan kweli? Wewe yuan sahivi unapata kwa ngapi? Kwa upande wangu nikitumia Mpesa @vodacomtanzania , Global Payment nakua na amani maana pesa inaenda kwenye Alipay ya mchina 🇨🇳 moja kwa moja. 📌Darasa la mkopo wa bidhaa nitarudia hakikisha kabisa unayo App ya 1688 ili nikielekeza tunaenda sawa
ChapChap China😍
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 06:13:03 GMT
Music
Download
Comments
Fahad dream ganji 😎 :
dada umenifunza sana sana sana
2026-07-21 18:19:17
4
Karimu Dzeko Tz :
bonge la tangazo aisee🤣🤣
2026-07-21 15:17:50
1
bakari :
wewe ni wakala?
2026-07-21 06:28:12
1
Sam Madini 💎 :
hongera kwa tangazo
2026-07-21 06:56:13
1
GOSHEN STORE :
Tunataka Ilo darasa 😂😂😂
2026-07-21 10:12:57
2
ruki@rae💞💞 :
mmmh sawa lakini mimi nina idea moja ambayo na Hingham vizuri lakini shoda nitaj kama yupo mtu anahitaji kaz bc aje tuianze
2026-07-23 01:02:47
0
chizoo :
Ila na wewe pia sijakuelewa kidogo kuhusu hiyo simu uliyopokea!!!!!
2026-07-25 10:52:21
0
Fedha Lubumba :
naonba nifundishe kipenzi nianze biashara
2026-07-23 23:12:35
0
Boss lyimo 🤘 :
nifundishe
2026-07-24 16:42:15
0
user2991712612271 :
Mimi nilitaka kuagiza chupi cotton dada pc 1000 Bei gani ndugu yangu
2026-07-22 07:12:42
1
MaarifaTime :
Nitafutie machine ya lamination kubwa ya kuweza ku laminate A1 papers please
nitalipa kwako
2026-07-21 17:19:14
1
Claviofficial ✅ :
nifunze
2026-07-23 03:51:41
0
To see more videos from user @chapchap.china_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.