@manhajisalafi09: NASAHA#JAMAAT TABLIGH hili ni kundi la upotevu halifai kusuhubiana nalo kundi lolote ambalo linaenda kinyume na sunnah halifai kushirikiana nalo
Katika makundi yalozuka ikiwemo pia hili kundi la Salafi na lao pia kundi la motoni pigoa msitari hapo
2026-07-21 12:32:57
23
hamicabdullah615 :
mimi binafsi nilipata Elimu kutoka kwa Tabliq
kama sio wao Leo nisingeelewa dini yangu
2026-07-21 18:23:58
22
user5058781619665 :
wewe upoo kwenye kud gani
2026-07-21 16:34:23
3
Wa HONDOGO og :
watu wanapigania dini mnawaita makafili 😂😂😂duh huzuni kubwa
2026-07-21 15:42:10
7
allychabala99 :
kwani maana ya tablighi ni nini
2026-07-21 21:49:18
2
Mwangu :
kama kigezo ni elimu basi ninyi mashekh, mbona hamuweki kundi kama hilo ili hao wasio na elimu wasitoke, huenda kwa kuwa ninyi wenye hamtoki ndo maana wao wanatoka, hube tupe jibu, je ni Mtume hakufanya hivyo au wao kuna mambo wanakosea wanahitaji kurekebishwa?
2026-07-21 13:48:05
4
Othmani Masele :
kwani tablighi kazi yao kubwa ni kufanya nini?
2026-07-22 13:16:21
1
BrWakid :
kwani lazima muislam uwe na kikundi.
2026-07-21 17:26:38
2
abubakari :
sarafi mtihani kweli kwani ukifikisha ata aya moja umekosea wakat mwenyewe anasema nifikishien ata aya mmoja
2026-07-21 14:09:13
3
mwanahamis ukwama :
katika tabligh wapo wengi wenye elimu pia msiwavunje moyo watu wanaowaita watu ktk dini....mtume amesema fikisha kutoka kwa japo aya moja...kumlingania mtu sio hadi elimu.....mbona ktk misikiti mnaswali na watu hawana elimu mbona hamuwafundishi....tumuogope Allah mashekh
2026-07-24 18:54:21
0
YAA DHALQUWATIL MATIN :
Asalam Aleyk Usipende kuongea Kuwainguza,Watu Motoni Umeulizwa Mtume Muhammad saw Hakutoka kuwalingania Watu?Acha kuongelea Kazi toa Ushahid wewe unaeelewa
2026-07-21 15:20:08
2
Mohammad Buya :
Sasa shekhe hapo Kuna bidaa gani jaman watu wanaeneza dini
2026-07-23 03:27:25
0
@Letoya :
Sheikh wangu, mvivu hawezitaka kutoka Kwa Mali yake na nafsi yake kuleta dini ilyo kamilika ndani ya maisha yake, ila Kwa kupitia mfadhili.
2026-07-21 20:18:36
4
term085 :
je kundi lenu ndio kundi sahihi
2026-07-22 02:24:27
0
amir sap :
kuwalingania watu wende kusali kunataka elimu kiasi gani naomba unambiye
2026-07-22 04:43:30
2
Maalim G :
twambiee,maana ya tabligh ni nn?
2026-07-22 05:57:03
1
Dr. Abukhalid :
watu wa tablekh kawaina mtume ktk safar ya miiraji
2026-07-22 08:39:30
1
allychabala99 :
tablihi imetulea nabado inatulea imetutoa kwenye mazingira mabov
SHEKHE UPO SAHIHI KABISA ILA MOTONI AU PEPONI NI ALLHA NDIO MJUZI ZAIDI .
2026-07-21 11:46:05
2
YAA DHALQUWATIL MATIN :
Kwani Bwana Mtume Muhammad saw Alipompa Taarifa Sayidna Abubaqar RA Kuwa yeye ni Mjumbe wa,Allah sw Je Sayidna Abubaqar Alifanyaje ?Je hapo Abubaqar Alikua amesema wapi ?
2026-07-21 15:22:06
1
Mohamed Mazrui :
kwani dini mpaka iwe saudia
2026-07-21 18:32:58
2
mwanahamis ukwama :
tabligh ndio mwenendo wa kweli wengi tabligh wakifa wanatoa shahada.....
2026-07-24 19:01:23
0
NANA juice :
sema mashekhe mnatuchaganya sisi tunao soma dini😁
2026-07-24 10:15:27
0
IBN Kitwana🐊 :
dah wallh masalafi uchara munahoja yakujibu mbele ya allh
2026-07-21 16:10:22
0
To see more videos from user @manhajisalafi09, please go to the Tikwm
homepage.