@wegrow_tanzania: UNATAMANI KUWA SEHEMU YA HISTORIA KUBWA NCHINI?🔥 Baaaaasiii! Kwa mara ya kwanza. Dodoma Auto Expo 2026 inakuja kwa kishindo kikubwa! Jiandae kushuhudia tukio kubwa litakalobadilisha tasnia ya magari nchini Tanzania, likiwaleta pamoja wadau wa magari, teknolojia, vipuri, huduma mbalimbali na fursa za biashara kutoka ndani na nje ya nchi. 🌍 📅 14–16 August 2026 📍 Viwanja vya Mashujaa, Dodoma Hii siyo tu expo ya kawaida… bali ni jukwaa la kufungua milango ya mafanikio kwa wadau wa sekta ya magari nchini! Utapata nafasi ya: ✅ Kuona magari mapya na teknolojia za kisasa ✅ Kukutana na wafanyabiashara, wataalamu na viongozi wa sekta ✅ Kujenga mahusiano mapya ya kibiashara ✅ Kufungua milango ya fursa mpya kwenye ulimwengu wa magari Kampuni, wafanyabiashara na wadau wa sekta ya magari — hii ni nafasi yenu! Chukua BOOTH yako au kuwa SPONSOR wa Dodoma Auto Expo 2026 na hakikisha brand yako inaonekana mbele ya maelfu ya washiriki. Historia mpya ya sekta ya magari Tanzania inaandikwa Dodoma… usiwe mtazamaji, kuwa sehemu ya historia hii! 🚀 📞 Wasiliana nao kupitia: 0795 577 043 | 0770 792 176 #DodomaAutoExpo2026 #AutomotiveInnovation #CarExpoTanzania #TanzaniaMotors #AutoIndustryTanzania
wegrow_tanzania
Region: ZA
Tuesday 21 July 2026 06:48:59 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @wegrow_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.