@apostle_nicolaus: SIKILIZA USHUHUDA HUU USIKATISHWE TAMAA @Creator Search Insights #creatorsearchinsights #foryoupageシ #sermon #fypシ #fyppppppppppppppppppppppp

APOSTLE NICOLAUS KIMARIO
APOSTLE NICOLAUS KIMARIO
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 07:00:06 GMT
11512
892
94
20

Music

Download

Comments

voice.of.heaven.k
VOICE OF HEAVEN KINGDOM ON 🌎 :
WATUMISHI TUNAPITIA MENGI LAKINI TUMAINI LETU NIYULE ALIYETUPAKAZI UBARIKIWE MTUWAMUNGU KWA KUTUKUMBUSHA 🙏
2026-07-21 21:28:16
5
apostle_msechu
APOSTLE MELKIZEDECK MSECHU :
powerful
2026-07-21 15:20:42
3
boazy.sanga
Boazy Sanga :
mbona kama umetumwa useme na mimi huo ushuhuda maana nimimi napitia kila ulichosema, utofauti hapo ni hiyo ndoto tu, ila nimemuomba Mungu pesa hata nipige floo tu au nibadili miti iliyoliwa na mchwa au nipate pesa yakulipia kodi ingawa mwenye eneo hanisumbui lakini naona aibu sijamlipa nikilala naota ndoto nimeshika Biblia na imebananishwa na vibunda vya pesa nashtuka kumbe ni ndoto tu, mchungaji mmoja yeye nimkubwa aliniambia nibora nikajipange kwanza😭 lakini ndani yangu nashindwa kuacha kupiga kazi ya Mungu😭😭 bado nimekaa nasubili tu namimi kunamda nawaza au sikuitwa kutumika lakini nikilala naona natapika dhahabu mdomoni kwangu na napeleka kuzipima nakuta kiloglam 3.5 naflai lakini gafla nashtuka kumbe ni ndoto😭😭😭, nimeamua kutulia kama Mungu analusu niabike ni sawa, mimi nilikuwa fundi wa kujenga nyumba vizuli sana🙏 lakini sijui nini kimetokea nilipoanza huduma hakuna bosi ananitafuta wakati nilikuwa sikai wiki bila sait, wacha niaibike kwaajili ya Mungu😭😭😭😭
2026-07-22 13:51:34
2
jweartz2
Jweartz :
Amen mtumishi
2026-07-22 10:34:06
2
cathe714
Emmy :
Amen nimejifunza kitu hap
2026-07-21 11:02:18
1
michavello
sushii :
this is wonderful ❤️
2026-07-21 19:20:17
0
user87067257272850
KINGS :
Barikiwa sana MTUMISHI WA MUNGU
2026-07-21 17:28:50
1
raphaelfrankfrank1
Raphael frank Frank :
2026-07-21 15:31:38
0
adrienoscar50
adrianoscar40 :
Dah hakika Mungu anaishi ❤️❤️❤️
2026-07-25 07:00:20
0
sumary.mjenzi.aru
SUMARY MJENZI arushaTZ :
nimepata kitu Mungu akubariki sanaaa
2026-07-25 13:53:28
0
ja.nice._5
yuniszakaria :
amina umenitia nguv mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-24 09:39:53
0
jooben15
JooBen :
Nakubali mkuu, never stop👏👏👏🙏
2026-07-25 04:12:35
0
alexmv3
Alexmv :
Amen nimejifunza kitu ubarikiwe mtumishi
2026-07-25 13:48:22
0
magdalena.godfrey1
Magdalena Godfrey :
Amna nimebalikiwa san
2026-07-21 11:59:30
1
mberesero0
Mbere Sero🏹 :
Pasipo nanjia MUNGU hutowanjia. haleluya haleluya 💐💐
2026-07-22 05:43:18
0
riziki5700
Riziki :
ameen
2026-07-22 14:24:34
0
johnalexmusic1
John Alex Music. :
safiii sanaaa mkuu
2026-07-22 08:26:52
0
rhoda.lissu
Rhoda Lissu :
AMEEEN NIMEGUSWA NA HII NENO
2026-07-21 20:18:53
0
userurmbiektk1
MARTHA MENDRADY :
Ameeeen kubwa BABA hakika Ibada. ya jumapili tulipokea
2026-07-21 14:46:14
0
kelvinmchomvu463
Apostle kelvin Mchomvu :
Amina songa mbele apostle
2026-07-21 17:34:42
0
joshuarusana
joshuarusana :
Amina mtumishi
2026-07-21 17:23:14
0
prophetboaz
PROPHET ELIBARIKI BOAZ :
HUYU NI MTUMISHI MUNGU WA KWELI WA MUNGU ALIYE HAI. ZIDI KUBARIKIWA SANA
2026-07-22 10:41:51
0
heaven_light2
Heaven light :
wow this is wonderful testimony God bless my brother 🤲🤲🤲
2026-07-21 16:58:10
2
the.kapenguria.str
KAPENGURIA STREETS :
sitaangalia mazingira na sauti za njee nitasonga mbele
2026-07-21 17:37:34
0
To see more videos from user @apostle_nicolaus, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About