@scopemediatz: Mshambuliaji mpya wa Yanga Hussein Mihambo amewaomba Mashabiki wa Yanga wampokee huku akiahidi kuipambania klabu hiyo kwenye Mashindano mbalimbali Aidha Mihambo ameongeza kuwa wachezaji anaowatazama kama role Models wake ni Fiston Mayele pamoja na Victor Osimen. Cc: Yanga TV #ScopeMedia

Scope Media
Scope Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 07:13:14 GMT
26406
1337
12
18

Music

Download

Comments

mastar.plani1
master plani :
karbu jangwanii
2026-07-21 18:54:23
1
blackrasta16
Jini Basha🥶 :
good broo nakukubali sana mm nko kenya krb jangwani
2026-07-21 16:46:18
2
user61026081624286
CHEED BOY :
safi kaka
2026-07-21 17:22:15
1
hamiswarioba
Warioba migiro :
nice dear
2026-07-22 05:20:10
1
mjapani22
Rashid :
kalib 😅🤣🤣
2026-07-21 20:21:16
1
ramamadua
Rama Madua :
😄😄😄😄 jitaidi mdogo angu unajua
2026-07-23 06:15:59
0
bashiruajili
bashilu ajili :
kalibu sana jangwani
2026-07-23 19:42:50
0
salma.omamry
Salma omamry :
NJOOONI DM
2026-07-22 08:53:40
0
zizikobo
dinya hangi🙏 :
🥰
2026-07-21 18:41:25
1
user2313530301714
matinelli :
🥰🥰🥰
2026-07-22 12:19:22
0
mchafuzimora
Mchafuzi Mora :
😁😁😁
2026-07-26 18:16:46
0
sofia.djuma2
Sofia Djuma :
🥰🥰🥰
2026-08-17 07:27:19
0
To see more videos from user @scopemediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About