@sharifaakshamba: #tanzaniatiktok #usa_tiktok #trending

sherry
sherry
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 07:15:25 GMT
14203
848
47
7

Music

Download

Comments

nagmaoman0
najum :
mhh quraan hiyo sharifa usifanye mzaha nayo
2026-07-21 08:04:44
8
anniferly
it's Naffy.. :
polee sherry,Qur'an itakupa tulizo la nafsi inshaAllah
2026-07-21 11:03:39
4
tisa4901
tisa Official :
pole sn sherry sijui unachopitia ila changamoto ni sehemu ya maisha ....allah akupe tulizo la moyo wako kupitia hiyo Quran
2026-07-21 15:42:13
3
boloyoung102
bolo young 102 :
kidoogo kidoogo akili na ufaham zinamrudi na anaanzakuelewa
2026-07-26 11:14:54
0
stanslausbenedic1
stanslaus Benedict :
pole sharifa
2026-07-22 12:36:02
0
oman63519
oman :
Pole sista.
2026-07-21 16:31:58
1
rahmamarigi7
rahmamarigi7 :
asalam alaikum sharifa maomba number ysko ya watsup nizungumze na wewe
2026-07-25 21:29:03
0
hilma2086
Asia :
Sharifa watu hawakuelewi ila mimi nasema katika watu waliochaguliwa na allah na wewe umo kufanya kosa sio kosa kosa ni kurudia makosa allah anasamehe makosa yote mshukuru mungu umepata muda umetubia kunawatu wamekufa na amali zao pole mwaya
2026-07-23 08:53:06
2
chulbulturky
BHAI jaan :
good act
2026-07-23 13:06:43
0
user9187424495307
I'm happy :
Nn Dada mbn unalia xx
2026-07-22 11:01:22
0
kibona.mpemba
Kibona Mpemba :
Reaction au actin
2026-07-21 12:37:22
0
zaincodeweb
Marzain~🤗💦 :
jaje leo pole bishery life is real let's make our comeback biidhnillah kw Allah tutkuw weny kufnkiw ucjl
2026-07-22 11:44:22
0
fatimamganyi
Mashauzi :
Ni sawa kwa kila muislam kutambua hatima njema use moyo dadangu kila ulicho pitia chenye makosa mungu anasamehee tupo nyuma yako dada na tukakuwa nyuma ya mte wetu mohammad S W A
2026-07-22 12:19:26
1
mwambani3
tofti :
mashallah🥰🥰🥰🥰
2026-07-22 14:12:46
0
user3551060661824
user3551060661824 :
kwaiyo mtu akilia aje mtandaoni aje atuoneshe kama analia au afanye siri yeye na mola wake amlilie jamani au mie ndo sijaelewa
2026-07-24 07:36:38
0
mo.na8316
Mo Na :
ikiwa huko kwelin muda hujachelewa mauti hayana taarifa wala sababu mda ukifika tunakwenda tu kwaio tujiandaen isituhadae Dunia wele washaofarik wanataman alau daikika moja tu lkn fursa imemalizika wasia tujiandaen
2026-07-22 16:26:37
1
sulhulaymii.12
sulhulaymii ❤️ ❤️ ❤️ :
mashaullah Allah akujalie apokee nia yako
2026-07-21 19:01:13
0
mwinyi20222022
Yamal ElectroTech Desgn & Repr :
Mungu Akuongoe.
2026-07-22 19:09:03
0
dumbibtz
dumbi tz :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-21 19:34:58
0
hamoudbadruhamoud
Hamoud Badru Hamoud :
Subhanallah
2026-07-21 19:47:08
0
ibrahim.ally426
Ibrahim Ally :
kiukweli nakupenda dadayangu kama mdogo wako ndani ya moyo
2026-07-21 20:20:35
0
user5332496340911
user5332496340911 :
da sherry aita Tena da sherry naomba tuliza moyo sisi tupo pamoja nawe hy
2026-07-27 07:06:38
0
user3345325626119
user3345325626119 :
dashab nni Tena jmn🥹🥹
2026-07-22 03:54:22
0
user8273869749003
nurul-ain :
Alhamdulillah 🤲
2026-07-22 10:20:44
1
queenmotherfans
Queen 👑 mother :
Nini mbaya mdogoangu 😥🙏🙏🙏
2026-07-21 16:06:32
0
To see more videos from user @sharifaakshamba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About