@mt.seciliamakubur: Historia ya Muziki Mtakatifu wa Kikatoliki ilizidi kupambwa kwa sura mpya baada ya watunzi wazawa kuweka ujuzi zaidi. WIMBO: Nikiziangalia Mbingu MTUNZI: G.S. Mkude WAIMBAJI: Kwaya ya Mt. Secilia - Makuburi KINANDA: Peter Mlyanyama MTIRIBU: Theresia Joseph NGOMA: Mackson Amlike PERCUSSION: Kelvin Tumaini & A.J.Myonga MASIMULIZI: Dr. Stephano Ayo STAGE SETUP & LIGHTS: Visual Matterz TZ SOUND: Orel Studios VIDEO: Chete Brands & KMSM Digital FULL ON YOUTUBE CHANNEL @mt.seciliamakuburi #kms_makuburi #kmsmdigital #mkatolikiconcert2026
mt.seciliamakuburi
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 07:44:14 GMT
Music
Download
Comments
Hagai Daud :
Chintu kuzipa 🔥🔥🔥
2026-07-21 07:45:56
6
John Sadiki :
this is why God created us. To know him, love him, serve him and worship him
2026-07-21 17:37:03
6
@bess Katholic :
watu wanaumba nyie 🙏🥰🥰🥰
2026-07-21 07:51:23
5
mdadaa :
jina la nyimboo plz
2026-07-21 14:56:10
1
venance :
Kuna watu hii Raha hawaijui kabsa mungu wape upeo nawao waipate🙏🙏🙏
2026-07-23 04:57:52
2
daddy's girl :
oooh wooow
2026-07-21 19:39:16
0
princess back up :
just wowwww🥰🔥
2026-07-21 16:15:30
1
Antusa Swai :
masta kwaya hongera sanaaa upo vizuri
2026-07-25 15:17:07
0
mulokozi jr :
Be blessed 🙌
2026-07-23 08:31:43
0
Ferdinand Ndayisaba :
Nikiziangalia mbigu
2026-07-25 15:22:19
0
Manyangu :
nyieee🔥🔥🔥🔥
2026-07-21 13:01:16
1
sabastian mwikwabe🇹🇿🇦🇪🇪🇺 :
kwaya masta yupo vizuri hio secta
2026-07-21 22:20:55
0
Sergius Mike :
wueh, hii nayo ni Kali👏🏼🩷🩷, fabulous 😍😍😍
2026-07-22 07:45:34
0
littleregy :
The original song and the keyboard 🎹 👌. But they have sang well as well
2026-07-21 21:07:54
0
Faith :
Mungu azidi kuwabiriki watumishi wake
2026-07-21 11:58:34
1
gregory mwinzi :
moto sana
2026-07-22 05:36:36
0
Ms.sisca🤍🦋 :
namuona emil mkatolikiii 🥰big up sana legends
2026-07-23 20:56:44
0
Lunyux :
Secilia nikimuona huyo Mama tu mi roho kwatuuuuuuuuu Mungu azidi kumuinua katika huduma
2026-07-22 14:09:16
0
lidia godfrey :
amina mbalikiwe kwa kutuinjilisha kupitia kwaya
2026-07-25 09:01:37
1
Bernard Jr :
hii nyimbo bado tunatumia kanda🤣🤣
2026-07-21 15:08:05
0
RegGee :
👏🏻👏🏻👏🏻🙌🏻
2026-07-21 17:36:40
1
baby@asela :
❤️❤️❤️❤️
2026-07-21 07:46:59
1
PRINCE MATHEW :
❤️🔥🙌
2026-07-21 08:00:15
2
zai💗🔐 :
🙏
2026-07-23 15:36:02
0
godfreyalphonce37 :
🔥🔥🔥🙏
2026-07-24 05:05:36
0
To see more videos from user @mt.seciliamakubur, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.