@elizabethafyatips: ๐‰๐ˆ๐๐’๐ˆ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐๐€๐“๐€ ๐Œ๐“๐Ž๐“๐Ž ๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐Š๐„๐Ÿคฑ Zamani ukimuuliza mtu unapenda upate mtoto gani wengi wao wangejibu mtoto wa kiume. Lakini hivi karibuni mambo yamebadilika watu wengi wanatamani kupata watoto wa kike zaidi kuliko wa kiume, wengine hutamani kupata mtoto wa kike baada ya kuwa na watoto wengi wa kiume.Haijalishi ni sababu gani inakusukuma kupata mtoto huyo wa kike, pengine sasa umekuwa ukihangaika kutafuta njia rahisi ya kukusaidia kufanikisha azma yako hiyo. Basi Leo utakwenda kupata jibu lake, kikawaida yapo mambo matatu makubwa unayotakiwa kuzingatia ili uweze kufanikisha kwa haraka ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ.๐Œ๐ฎ๐๐š ๐ฐ๐š ๐Š๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข ๐“๐ž๐ง๐๐จ Mwanaume hutoa mbegu za aina 2, X zinazotengeneza mtoto wa Kike na Y zinazoleta mtoto wa Kiume. Mbegu X huwa zinaishi muda mrefu zaidi zaidi kuliko Y hivyo basi ili kuweza kufanikisha kupata mtoto wa kike mapema inatakiwa kushiriki tendo la ndoa siku 2 hadi 4 kabla ya siku ya kutungisha mimba. Hii itasaidia mbegu hizi za X ziweze kuingia pindi tu yai linapotoka. ๐Ÿ.๐Œ๐ข๐ค๐š๐จ/๐’๐ญ๐š๐ข๐ฅ๐ข ๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข ๐ญ๐ž๐ง๐๐จ ๐ฅ๐š ๐ง๐๐จ๐š. Mikao unayotumia wakati wa kushiriki tendo la ndoa inaweza kuathiri jinsia ya mtoto umtakaeโ€ฆ Kikawaida epuka kutumia mikao inayoruhusu mwanaume kumwagia mbegu zake karibu kabisa na mlango wa kizazi. Hivyo pendelea zile staili ambazo mashine ya mwanaume haiingii ndani sana, mfano staili ya kifo cha mende. ๐Ÿ‘.๐”๐ฌ๐ข๐ฆ๐Ÿ๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ž ๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฆ๐ค๐ž ๐Š๐ข๐ฅ๐ž๐ฅ๐ž๐ง๐ข๐Ÿ˜€ Wakati mwanamke anafika kileleni huwa kuna ute fulani anautoa unaozisaidia mbegu za kiume kukimbia haraka na kuishi muda mrefu, ili kuondoa uwezekano huu wa kupata mtoto wa kiume basi ni vema kushiriki tendo la ndoa kikawaida bila mwanamke kufika kileleni. ๐๐ˆ๐€ ๐“๐”๐€๐Œ๐๐ˆ๐„ ๐”๐Š๐ˆ๐Œ๐๐€๐“๐€ ๐๐€๐๐˜ ๐†๐ˆ๐‘๐‹ ๐”๐“๐€๐Œ๐๐€ ๐‰๐ˆ๐๐€ ๐†๐€๐๐ˆ ๐Ÿฅฐ๐ŸŒบ๐Ÿ‘‰ ๐Ÿฉท ๐—™๐—ข๐—Ÿ๐—Ÿ๐—ข๐—ช, ๐—–๐—ข๐— ๐— ๐—˜๐—ก๐—ง &๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—˜ ๐—ฃ๐—ข๐—ฆ๐—ง ๐—›๐—œ๐—œ ๐—œ๐—ช๐—”๐—™๐—œ๐—ž๐—œ๐—˜ ๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—œ ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ข๐—›๐—œ๐—ง๐—”๐—๐—œ ๐—•๐—”๐—•๐—ฌ ๐—š๐—œ๐—ฅ๐—Ÿ ๐Ÿฅฐ ๐Ÿฉท #viral #foryoupage #babygirl#uzazi#oman

ELIZABETH NA UZAZI
ELIZABETH NA UZAZI
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 08:11:24 GMT
29348
736
22
23

Music

Download

Comments

safi.kahindo6
kaghom๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ :
mimi hapa ombi langu mungu Ani bariki mtoto wa kiume kwa sababu ninao nne wa kike ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-07-22 17:50:02
1
tiffa3806
mrs H.๐Ÿ’žM๐Ÿ’‹ :
amiin amiin mungu nibariki
2026-07-29 17:20:28
0
mariakondo7
MARIA KONDO MAKWINYA๐Ÿ’ฆ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐ŸŒน :
mimi hapa ombi langu mungu Ani bariki mtoto wa kike kwa sababu midume ninao 3 ...ataitwa Gianer ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
2026-07-22 20:45:33
0
ukhty.naifat
Ukhty Naifat :
mm na taka mtoto wa kiume๐Ÿฅฐ
2026-07-23 13:10:06
0
chimamy319
Ree @ beuty๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ :
good bless me with a baby girl ๐Ÿ™
2026-07-23 18:30:43
1
christinetaura608
Taura m :
Mungu nipe either boy or girl
2026-07-27 06:52:29
0
regina.joseph912
REGINA JOSEPH :
mimi ombi langu kwa mungu anibari watoto mapacha wakike na midume miwili๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
2026-07-28 13:25:15
0
_snoopyfei
_snoopyfey :
mungu anipe wakike inshallah ๐Ÿ™ โค๏ธ
2026-07-24 05:06:39
0
user4939519077822
linna๐ŸŒน๐Ÿฅ€ :
Amina
2026-07-24 19:32:00
0
myra12204
myra :
jinsi ya kupata mapacha
2026-07-24 11:17:50
0
janetkemmy
Nyamusiโค๏ธโค๏ธ :
Amen ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
2026-07-26 18:43:50
0
amina.masimike
Amina Masimike :
mungu anijalie nipate mtoto wa kike amahra
2026-07-24 07:26:23
0
veronicaemma45
veronicaemma45 :
mama boys ngoja nisome kwa utulivu
2026-07-23 08:01:49
0
masika.prcieuse74
Masika Prรฉcieuse :
mungu nipe wa kike mungu l
2026-07-23 14:59:50
0
ukhty.naifat
Ukhty Naifat :
waooo
2026-07-26 14:39:53
0
mamaakrammitupio2
mamaakrammitupio2 :
bhas dume tena apo kweny kilele๐Ÿคฃ
2026-07-24 10:04:43
0
jenny_steven6
Jenny :
๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
2026-07-21 16:59:22
1
newtons51
ร‘รชwtรธรฑ Dรฉ kรฎรฑg :
๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
2026-07-23 20:49:27
0
To see more videos from user @elizabethafyatips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About