@singida_onlinetv: Baadhi ya Viongozi na Wananchi Wa Mkoa Wa Singida wakiimba Kwa Uzalendo na hisia Kali hello hello Tanzania Mbele ya Mwenge Wa Uhuru. Mwenge wa Uhuru upo mkoani Singida ukikimbizwa katika halmashauri zake saba ambapo utafungua, kutembelea, kuzindua na kuweka mawe ya msingi jumla miradi 47 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 46.6 hadi Julai 26 mwaka huu ukapokabidhiwa Simiyu kuendelea na mbio zake. #Singida_OnlinetvUPDATE #Singida_OnlinetvHATUNAMIPAKA