@kawanga18m: PART 1 HUYU MAMA ANAMOYO MZURI SANA JAMAN KAELEZA MENGI NA ALINIAMBIA ELFU 30 ALIYO PATA ATAENDA KUPUNGUZA ELA YA KODI😭😭 LIKE NYINGI KWA MAMA❤️❤️ KAMA UKO DODOMA AU DAR NA UNAMZIGO WAKO WAKUSAFIRISHA MKOA MWINGINE WOWOTE WASILIANA NA HAWA NDIO WATAALAMU WA KAZI IZO
Kawanga18M
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 08:18:48 GMT
Music
Download
Comments
K.F.PU(haki nuru ya ukombozi) :
uislamu ni dini ya allah
2026-07-21 14:17:35
132
nadya :
sijuh nalia nn
2026-07-21 12:59:36
33
MBEDOMSAFI :
akuna kama mama mungu baliki wa mama wote🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-21 12:15:35
203
🎀 ӄɛʟʟʏ🍒🎀 :
Mimi ndy mdada niliyepita na Baibui
2026-07-21 17:26:42
20
BWANA SHEBY :
usalama wa taifa mpaka wazee
2026-07-21 20:57:58
12
princess baby girl :
kaka angu unakipaji Marshall
2026-07-21 09:31:46
63
mwido :
nani kama mamah
2026-07-21 09:40:23
19
krach.kabyser0689105768 :
Mama ameuliza Kwann 😁
2026-07-21 20:56:44
8
AIDO no:7 :
hakun kama mama
2026-08-04 20:21:05
1
baba salim matulanga :
huyo mama kweli ni mtu mwa mwanza
2026-07-21 15:26:23
7
jay mill :
Sasa kwann akatae ela na wakati anaomba au hawa ndio wale ambao waganga wamewambia wasichukue ela kubwa wachukue shilingi 100 tu au sarafu tu
2026-07-21 21:26:55
7
user19222426598406 :
Kaka na mimi naomba msahada, nitibiweoguu, nilivunjika
2026-08-16 07:31:22
1
christiani :
akuna mtuyoyote kama mama kamaunampenda mamayako wekakopa
2026-08-04 13:50:04
4
mchizkichiz660 :
kama una mkubalii huyu jamaa weka like
2026-09-15 19:36:21
3
👑E.r.m.i.a.s✨️ :
Watu wa mwanza are too kind🙂 i have always seen that.
2026-07-21 17:45:58
7
Mameritha :
nimefurahia video hii mung azid kukutumia Nina kupenda endelea kuchspa Kaz tuko pamoja
2026-07-21 08:48:20
19
Its Fetty💫💦 :
Daah kwel hakuna kama mama mungu wajalie mama zetu na wew kaka mungu akujalie uwe na moyo huo huo😭😭😭
2026-08-05 13:14:38
6
Mama Ake Na issa :
Nani kama mama
2026-07-21 14:39:21
11
Mchina :
mama anaroho mzuri sana
2026-08-03 04:07:24
2
ONLY EASY DAY WAS YESTERDAY :
mungu akuongoze kila hatua.
2026-07-24 06:44:15
2
Swaleh ramadhan :
Uislam ni dini ya haqi🥰🥰
2026-07-25 08:10:53
2
🎀Deee🦋 :
Naumia mnoo
2026-07-21 13:35:40
1
miss Juma :
zingatia MUNGU AMEKULETA KWANGU
2026-07-23 20:03:55
4
QueenMindset :
nahic alijua kuwa contect
2026-07-31 16:50:22
3
Ngosha :
mi nimepita na jezi ya taifa stars
2026-07-23 10:05:44
2
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.