Fogo la mafogo.... Wajina respect Sanaa... Well said
2026-07-22 17:27:57
0
MH.JOCKSON 🙏 :
very nice brother una akili
2026-07-22 19:29:13
0
Da last born 7 :
Kiwanja ni aset inayopanda thamani haishuki kwaiyo ukinunua kiwanja mwaka huu kwa 2m baada ya miaka miwili unaeza kuuza 5m
2026-07-22 15:11:29
3
TIJA COMPANY LTD :
👏👏👏 hela ipo shambani
2026-07-21 12:38:13
61
Adamson George. :
Nunua kiwanja cha ml.2 baada ya miaka 3 utauza ml.10 bila kuchoka. Hilo hesabu la kulima kwa ml.2 n hasara hiyo n proposal maneno ya shuleni. Hakuna kilimo chochote kinatoa gunia 90 kwa heka 1 iwe mahindi mpunga maharage... Kuongea n rahisi sana
2026-07-22 12:21:31
18
mleno luis :
hesabu ni rahisi jalibu sasa uone😁😁😁😁
2026-07-22 13:32:05
5
Singe :
Kaka hesabu ya zao gani
2026-07-21 08:34:09
43
𝐄𝐦𝐬𝐚𝐦𝐏𝚛𝚘 :
ujenzi ni iuzika pesa kabisa japo nimejenga
2026-07-22 11:09:22
5
baba chibonge :
mi nakuja na hiyo million mbili
2026-07-21 18:03:48
13
DRCKPLANMASTAR🙏✊ :
Fogo Fogo Fogo mwalimu wa Sayansi kilimo🙌🙌🙌
2026-07-21 14:16:17
21
GLORY :
wewe unalimia wapi
2026-07-21 12:10:00
11
Mr Maleba :
ukisikiriliza maneno hayo kwa mihemko unaweza kufikiri ni rahisi
ingia sasa uone, kikubwa kila mtu afuate njia zake, kazi ambayo we unaona ni mbaya Kuna mtu Kawa tajiri
2026-07-22 11:21:02
9
my name is.. :
kwenye pesa bhana kila mtu na mahesabu yake
2026-07-22 10:53:27
8
user6332461912330 :
Mimi huwa nakukubali mzee wa facts.
2026-07-21 08:39:53
12
justine :
ujataja kilimo gani fogo
2026-07-21 18:58:27
17
Amigo :
Nakuja huko huko
2026-07-21 11:57:57
6
Musa salum :
master yako inatuokoa sana barikiwa🙏🙏🙏
2026-07-21 15:20:31
9
j? chia :
Habari kaka
2026-07-22 11:36:26
0
Erasto Nichombe~(nich jr) :
kumwagilia kwa mtungi wa gas ikoje hiyo share experience please
2026-07-22 13:02:34
5
kamshange :
kilimo cha nn iko
2026-07-22 11:36:10
1
the great meku :
milioni 2 na hapohapo kuishi kwa siku hizo 120??
2026-07-22 11:30:48
3
O_s_a_k_a_ :
Hesabu dhania hiyo; bora kiwanja kwa kuwa kinapanda thamani; huna risk wala presha.
2026-07-22 17:28:09
1
To see more videos from user @emmanuelmbegalo, please go to the Tikwm
homepage.