kuna wale unampa kila kitu na hukaa nyumbani lakini bado anakusaliti
2026-08-08 12:16:16
6
Michael Mahonga :
hayo yote yalinipata mimi
2026-07-21 16:38:20
10
Evodia Westoni Chambulikazi :
Video nzima ipo youtube
2026-07-21 08:33:52
6
Kahenga Christian :
Niko victim wa iyo Mara kwa Mara dada.
2026-08-17 11:14:45
2
faustin :
good
2026-07-25 21:05:26
3
lameck nyagory :
naomba uendellee kuelemisha jamii kwasababu unatugusa sana
2026-07-22 06:06:59
5
Joseph matiku :
nikwel kabisa dada angu Hadi namimi nimfungulia make wangu duka la viombo ndo mambo yakabadilka Hadi tukaacha bila sababu
2026-07-21 12:33:07
10
Salim Nzoyisenga :
tunakubaliana nahayo
2026-07-21 19:06:18
5
Oliver Bahati :
Wana pretend.
2026-08-31 08:28:11
1
knowz tz :
We Evodia una akili sana
2026-07-23 02:03:40
5
TermS...🤲🏼 :
Yaani dada wewe ni mtabiri mkali sana. Umenieleza mimi maisha yangu 💯. yalivyoniendea kabisa. Najiona ni mimi kabisa unayenizungumzia. Yamenipata hayo hayo na mpaka leo sijaamini yote yaliyonikumba. Ahsante kwa kuelimisha sisi wanaume kwa mambo haya...😪