huy ni mimi niliambiwa nmefata hela zao nikawaacha saii nipo kwet😁
2026-07-21 20:24:48
36
Rose Martine :
Asante dada Yaan me naambiwaga natumia pesa zake ela zenyewe ana😂😂
2026-07-21 23:22:59
21
snackjojo14 :
siku tiktok wakieka option ya voicenote kweny comment nitarudi kweny hii post nicomment👩🦯👩🦯
2026-07-21 18:49:06
9
wanjix salma🥰 :
May I never be this toxic to my son...in God's name.
2026-07-22 09:28:36
14
Farhiya :
nimeeka status watajua wenyewe
2026-07-22 12:25:35
12
Victoria mamen :
Wangu tulipooana tuu ndio akaanza kufanikiwa wanasema naringa wakaanza kumwambia aniache eti hawanitaki ila yeye anajua tulikotoka akasema hataniacha wamemkasirikia.
2026-07-22 00:26:37
10
Amayratif :
enzi izo ningetulia nilaumiwe ila saivi nangojea waongee hakuna neno nitaacha kusema yani hadi nna hamu waongee😂😅
2026-07-22 05:52:42
8
IJONJOA :
baada ya kumchoka handsome boy😂💯
2026-07-26 19:16:40
0
Lilly J :
da Fifi wewe niombee tuu hii moja kwa moja status😭😭kama najiona mm
2026-07-21 20:35:24
5
Noela Pascal :
dada. ahsantee. kwakunisemea. dada yangu kuna wanaume no future
2026-07-21 16:02:22
8
Rajat soudy :
Ila Familia ya Mume🙌
2026-07-22 20:31:47
3
elizabethjoel255 :
hapooo Sasa umemaliza
2026-07-23 16:22:26
2
tatushio :
Dj endelee kumenogaaa
2026-07-23 09:26:55
2
shazy🥰🌹 :
kweli kabisa siz
2026-07-22 17:01:09
2
sunnahang :
mbona unamzungumzia mume wangu jaman
2026-07-25 02:18:23
1
Sakina Masare :
Fifi nakuhakikishia hii clip naitunza ipo siku itanisaidia 🥰💪