@dianaadonias774gmail.com:

maney official 954
maney official 954
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 09:00:38 GMT
206695
8406
1126
413

Music

Download

Comments

black..heart43
𝑺𝒂𝒅 𝑾𝒐𝒓𝒍𝒅 ...🖤 :
afu kuna mwana mmoja anaitwa samweli aliitwa na Mungu mara tatu ndo akaitika...ukiachana na samweli kun huyu muhun petro alimkan yesu mara tatu had jogoo akashtuka ikabid awike😅....afu kuna mwamb mwingine anajiita Yuda jamaa anathamin pesa Sana akaamua kumuuza yesu Bhan dah afu kuna huyo anajiita kaini alimuua mwenzie mung alipomuuliz yupo wapii mwenzio jamaa kajib Mim sio mlinz wake ...😅😅
2026-07-21 15:50:42
497
ze.best56
abel ze best :
Kuna mwamba aliulizwa na mungu Yuko wap ndugu yako akajibu Kwan mm ni mlinz wake
2026-07-22 07:14:13
205
fissojxux0a
lily🥰🥰 :
na kuna daudi aliemuua askari wake hodari ili amchukue mke wa jamaa😅
2026-07-22 12:44:18
97
dianaadonias774gmail.com
maney official 954 :
ata yesu nae alikuwa na majibu alipo itwa na wazazi wake akasema mama na baba yangu niwale wanaosikiliza neno la mungu na kulitii😂😂
2026-07-22 12:08:57
90
officiallmarota7
clara@❤️💌 :
Alafu kuna watu mnasema tuna majibu mabaya, mnakumbukq kaini alimjibu nini yesu?🤭
2026-07-22 11:05:32
46
annamawala
miriana :
ila nimependa huu utani wa kwenye neno la Mungu
2026-07-22 09:09:23
62
olisa169
Divine🕊 daughter's👸 :
kuna mwamba huko yakobo alipigana na malaika usiku wote na akashinda na akawa bado anangangania asiondoke mpaka kieleweke😁😁😁😁😁😁😁
2026-07-22 06:45:55
67
phinalulu
Lulu :
Kuna Miriam aliemsema wifi yake hadi Mungu amkamp ukoma . Wasengenyaji oyeeee! 😂
2026-07-22 11:20:45
45
mommdees
MommDee’s❤️🦋 :
Kwa yesu raha unatumwa bila nauli 😅
2026-07-22 21:01:15
28
am_gene_megamind_nba
am_gene_megamind_NBA :
Ivi kwa nn Cain sadaka yake mungu alikata kutoka kwenye biblia Manake sijawai kuona kwenye biblia sababu ya mungu kutaka sadaka ya cain
2026-07-21 18:28:01
7
minja574
Alex minja✝️🇹🇿🍸🎮💟 :
yesu Ana pitia comment 😂🥰😅😅😅😅😅
2026-07-23 07:52:57
8
beriamajinge
Beria Majinge :
Leo umetenda jema sana, maana tumepitia biblia bila kupenda barikiwa sana🥰 🥰🥰
2026-07-22 12:45:05
32
vee_scents_beauty
vee_scents_beauty :
Mmemsahau yuda eskariot yy aliona amuuze mwamba Yesu kabisa😭😭
2026-07-22 21:36:51
13
emmanuel.yonna6
Emmanuel Yonna :
NASIKIA MZEE WANGU ANA TRENDING SANA HUKU NINI KIMETOKEAA😂🤣🤣🤣🤣
2026-07-22 13:06:46
16
user1622343610416
ln :
achana na hao Kuna yule Adam alipoulizwa na MUNGU ukowap akajibu yule mwanamke ulienipa😆😆😆
2026-07-22 20:02:56
10
motiffanny2
momo😜 :
YONA vitu vyangu kabisa
2026-07-22 11:44:27
9
lucy.enock6
Lucy enock :
😄😄😄 mmenifanya siku yangu ianze Kwa furaha maana sio Kwa comment hizi 🤣🤣
2026-07-23 06:07:11
7
christ_habitation
Christ Habitation :
Tuwe tunasoma maandiko jamani, hata kama ni post ya kuokota mtandaoni.: Yona hakutumwa kwenda Kaanani, alitumwa kwenda "Ninawi" yani "Nineveh"
2026-07-22 18:14:32
60
mzanaki55
Mzanaki :
KUNA MWINGINE SLIITWA NA MUNGU MARA TATU NDO AKAITIKA
2026-07-22 10:03:03
29
g.de.beautyy
g dé beauty🦋🦋 :
watu wanajua nimelipenda beat kumbe nasoma comment 🤣🤣
2026-07-22 09:43:51
25
muhenduru.shao4
Muhenduru Shao :
Alimpa nauli???
2026-07-22 06:48:24
33
eliza.nyakunga
SHUNNY VIFAA VYA UJENZI :
Musa mbabr kweli kweli alimwambia Mungu Usipoenda nasi sisi hatutatoka hapa😄😄
2026-07-22 10:00:31
29
user7374043837262
The only one ☝️ :
Achana na huyo kuna Musa alijidai awezi kuongea kumbe ilikua kiburi akashtukiwa akaambiwa haijalishi nenda na haruni kwa Mungu hakuna sababu utaenda kazi kazi
2026-07-22 22:54:28
9
martha.william47tiktok.1
Yunaithama♥️ :
Kumbe kujiamulia mambo kulianza zamani cyo kanani na ww ninawi bhan🙏
2026-07-21 12:44:52
67
To see more videos from user @dianaadonias774gmail.com, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About