Ukiona to praise and worship team wamevaa uniform jua to it's about to go down 😂
2026-07-21 19:55:17
426
:
wuue hio back up
2026-08-29 20:37:02
0
:
aliemshinda farao kwa mapigo kuwindaaaa😂😂😂😂
2026-07-21 16:03:40
372
:
but soloist ako sawa backup ndio wako na shida
2026-07-22 07:24:00
163
:
Tumwabudu Bwana kwa uzuri wake chomekeni mbele zake
2026-07-23 17:50:52
42
:
Thank you for this..ni lyrics zilislip😂😂😂😂😂..
2026-07-21 11:35:13
33
:
hii church iko na shida kama Ile yangu😂😂
2026-07-22 07:46:52
57
:
sauti guna si guna 😁😁
2026-07-22 03:08:26
31
:
they are not entertaining
they are singing for God so no problem
2026-07-22 15:12:10
13
:
Kwa ground inakuanga sawaaa 😂😂😂😂😂
shida ni online sounds
2026-07-22 10:13:04
39
:
wamefikiwa 😂😂
2026-07-21 10:23:34
16
:
mi huskia kwa mapigo kulia😭😭😭
2026-07-22 14:01:01
6
:
but hiyo sauti iko sawa
2026-07-22 10:02:36
8
:
kwisha mimi kwa mapigo kuwindaa 😳😳😳😳si kumi
2026-07-21 14:10:10
7
:
ati kwa mapigo kuwinda???
2026-07-22 15:57:32
14
:
Rose muhando atawachapa😂😹😹🫴
2026-07-22 08:26:13
10
:
mwimbaji ako sawa wakusupport ndio hawayuko hapo
2026-07-29 08:11:49
6
:
confidence 100%
2026-07-21 14:03:25
8
:
2 Wakorintho 12:9
“Naye akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu. Basi nitajisifia udhaifu wangu kwa furaha nyingi, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.
”