@jofrey03:

Jesus son
Jesus son
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 10:14:42 GMT
33455
6019
521
905

Music

Download

Comments

user4463484600012
miss Jingu💞 :
God bless You the man of God
2026-09-16 19:22:34
0
its.p078
Its P❤️ :
Ambae yupo tayari kuutafuta uso wa Mungu na kusimama katika msingi wa neno njoo tuungane pammoja
2026-07-22 11:38:20
206
yeeeeeesu0
Only Jesus🙏🏼❤️ :
Kwan Mungu anatak kuniambia nn kwa habari ya unyakuo kila nikisem nisrow nakutan na video ingine ya kuhusu unyakuo
2026-07-21 13:15:42
80
rebeka.tajiri3
Rebeka Tajiri :
mm ni mmoj kati ya watakao nyakuliwa Kwa jina la yesu kristo Amina🙏🙏
2026-07-29 21:05:14
19
breezyboytz0
breezy boy TZ🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
una nitisha kk maan mm juzi pia nmetoka kuota ivo ivo🫢🫢
2026-07-26 22:30:28
9
edina.chlianus
edch🥰😘 :
ee mungu wangu nipe mwisho mwema mm
2026-07-21 18:37:49
30
gracecharles279
0769123147 :
wana wa MUNGU tunatakiwa tuokoke tuache dhambi YESU anasamehe
2026-07-29 18:33:18
7
phily599
phily@003 :
nkweli yesu yuko karibu, pia mimi ni mmoja wao niliona maono ya yesu anashuka akiwa mawinguni na cku iliyo fatilia akaja kuniita kuniambia nitengeneze maisha yuko karibu🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-05 21:48:54
1
merrymerry7611
merrymerry7611 :
me mwenyewe nimeota yesu anarudi lakin watu walikuwa hawajali Kam vile hawajuwi kitu
2026-07-22 05:22:08
18
neema.bernad0
catelina@.. :
Yesukristo nisamehe,nipe mwisho mwema Mimi pamoja naFamilayangu 😭🙏🙏🙏
2026-08-12 13:48:36
10
fravianevodius
Fravian33 :
oya bro. mh! inatisha sana yani. kwa kawaida mtu hawezi kuelewa. ila ni hofu ambayo haipogo.. Yesu mwema tujalie kuutafuta uso wako daima.
2026-07-21 17:28:02
21
namayani.james
Namayani James :
uuwiiiii naogopa nikisikia habari hizi,, YESU nisamehe
2026-07-22 09:20:29
5
movicjocks
movicjocks :
daah alf kuna watu hata kuokoka bd hatuja weza
2026-07-28 05:08:57
5
bupe.kifuna
Bupe kifuna :
Mungu nisaidie nipe nguvu niutafute uso wa Mungu 🙏🙏
2026-08-15 19:53:12
4
esterjoho2
e :
ukiongea jambo la maana toa mziki tusijilize vizuri huo mziki wa nini
2026-07-22 05:00:05
8
aliciamuta0
prophetese Alicia muta :
watu hawataki kuelewa kwaba tuko wakati wa mwisho ,lakini yesu anarudi karibini ,jidae ndugu zangu tubuni ili yesu akirudiya tunyakuliwe wot🙏🙏🙏
2026-07-21 18:42:42
9
andrewkantumbiang
Y@ung Minister tz :
Kaka hiyo ni kweli kabisa👍 hata me Mungu alinionyesha hizo ishara hizi ni nyakati za mwisho 🙏🙏
2026-07-21 17:40:38
6
richard.amosi
Richard Amosi :
ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
2026-07-26 04:35:32
1
neemanadoo3
Neema Nadoo :
Mimi nimekuelewa zaidi Jesus son...nawaomba wote mnaoandika unapoandika Yesu, ukiianza na herufi kubwa itapendeza zaidi ndugu zangu YESU NI JINA KUU KUZIMU INAJUA NA KUTETEMEKA TULIPE HESHIMA YAKE
2026-07-23 06:19:14
9
user4881935559734
ELIZABETH 👍💛🇹🇿💓♥️💙💗💓💜 :
amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen ubalkiwe
2026-08-07 12:44:40
1
user2624619833824
Grace :
jaman saut ya mungu I inaapga kelel tutubu jaman yesu yupo njian angalieni dall
2026-09-12 19:41:18
2
jugu4289
JUGU :
dah kaka moyo wangu una shauku kubwa ya kukutana na YESU
2026-07-29 17:58:05
3
diacreemmanuel758
Diacre Emmanuel :
kwa Yesu ni raha jamaniii ! !!
2026-08-09 15:15:32
2
user7310738156361
be ready :
yesu anarudii..kaka upo sahihi..mana haya yameandikwa kwa vitabu
2026-07-23 15:07:59
1
edinabatwelingong
Edina batweli Ngongoni :
Ubalikiwe na Mungu alie hai
2026-07-23 14:18:29
1
To see more videos from user @jofrey03, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About