@greenherbs_africa: Makosa matatu hufanya wagonjwa wa acid reflux soma ujumbe huu utakusaidia. Makosa haya ndiyo sababu ya watu kukaa na changamoto hii kwa muda mrefu. Soma post hii mpaka mwisho itakusaidia kukufanya uepukane na kupona acid reflux. Kwanza acid reflux ni hali ya kurudi vitu vya tumboni kupanda kwenye njia ya chakula (umio) na hata kupanda kwenye koo. Na ndiyo sababu ya kuleta madhara ya kuumia kifua. maumivu upande wa moyo hadi nyuma ya mgongo. Kuhisi makohozi na mafua yasiyokwisha. Kupoteza sauti na wengine hufikia hatua ya kuhisi kupigiwa makelele masikioni. Kosa la kwanza ni kuamini acid ni tatizo inawezekana acid kuwa kidogo tumboni ndiyo sababu ya kuleta madhara kufikia hapo yalipo leo. Acid ikiwa ndogo inaweza kuleta shida ya umenvenyaji chakula kukaa tumboni kwa muda mrefu na kuzalisha gesi na hii ndiyo sababu ya tatizo la acid reflux kutokea. Kosa la pili kushindwa kuhimili presha tumboni. Prssha inaweza kutokea kutokana na maisha ya kila siku namaanisha ulaji,vyakula vyenye gesi mtu kuwa na kitambi hata wale ambao wanalala baada tu ya kula. Lakini presha inaweza kuongezeka kutokana na gesi kuzalishwa kwa wingi baada ya umengenyaji kuwa chini hivyo chakula huoza na kuletagesi presha tumboni kuongezeka na kulete shida ya acid reflux. Kosa la tatu ni kushindwa kumanage msongo wa mawazo. Kwa mawaida msongo wa mawazo unaweza kuathiri mfumo wa fahamu. Hivyo zile pera symphathetic zikishuka moja kwa moja mfumowa umengenyaji hushuka pia. Hivyo mtu anaweza kupata changamoto za tumbo na hata hii shida ya acid reflux pia. Sababu hizi huleta presha kwenye kizibo kinachozuia chakula kisirudi mdomoni (esophageal sphincter) na kufungua na kuruhusu acidi na chakula kutoka tumboni na kurudi kwenye koo. Na baadhi ya watu waliopuuzia wamepata madhara ya saratani ya umio na hata saratani ya koo. Chukua hatua kuanzia sasa na jitahidi kuzuia makosa haya sasa. Kama umekuwa kwenye shida hii kwa muda mrefu na umehangaika bila mafanikio @greenherbs_africa tunaweza kukusaidia. Tupigie sasa 0676111666. fika fiisini kwetu leo tabata dar es salaam. #acidreflux #gesitumboni #vidondavyatumbo #tiktoktanzania #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokviral