@sub_sahara_israelites_tz:

Sub_Sahara_Israelites
Sub_Sahara_Israelites
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 10:36:31 GMT
5690
381
30
47

Music

Download

Comments

suleimanwanje942
I man mongoli :
mmmmh
2026-07-27 14:29:38
0
abdallah_kimti
Abdallah kimti :
kila mtu anachanganiwa kwa mda wake
2026-07-25 21:44:10
1
felix.timotheo
felix M.timotheo :
2026-07-24 21:41:47
2
ejenson7
ejensonjohnson185 :
nakubali sana kaka sisi wana wa israeli hatuna trinity
2026-07-26 09:53:16
1
fabiano91971
Fabiano :
ukweli sisi bantu ni hebrenia
2026-07-26 09:22:06
1
hosanna572
[email protected] :
nakukubali Bwana uko mjuzi
2026-07-26 05:59:55
0
tajir.rubuva
Tajir Rubuva :
Mrastafar elezea kidogo nijue asili ya warangi na wasandawe mimi ndio asili ya uzao wangu naweza eleweshwa kujitambua ni muhim,,
2026-07-25 20:18:44
1
margaret.njoki3
Margaret Njoki :
kweli kabisa
2026-07-24 08:00:28
1
robertmakofi
rom bizzy :
niache nachanganyikiwa
2026-07-26 04:53:44
0
jayjaycrative
Realme 💎 :
mafundisho maalum .....hii strong concordance kitabu iko wapi
2026-07-25 08:39:52
0
oscarbubge
oscarbunge :
Safi sana kiongozi nakuelewa sana
2026-07-26 03:46:47
0
suleimanwanje942
I man mongoli :
al maana yake ni...the...hams ni tano ..maana ni the fifth day of the week.
2026-07-27 14:29:18
0
hosanna572
[email protected] :
Sasa Nduguyangu tutaijuwaje iyi mafunzo nakujuwa bamba utufungulie shule
2026-07-26 06:11:21
0
hosanna572
[email protected] :
Nduguyangu napenda hizi Mada zako zauchambuzi wakina kwahizi historia utuletee kilasiku
2026-07-26 06:05:04
1
user6876845061831
ukende ben Israel :
amen 🙏🙏🙏 wabantu wanaisrael amukeni
2026-07-26 19:16:21
1
mkristo18
Mkristo :
rasta wahehe ni watoto wa nani
2026-07-26 20:22:25
1
user5143277246381
Mizani_ya_Imani :
kuchanganyakiwa ndo huku
2026-07-27 18:30:46
0
suleimanwanje942
I man mongoli :
baba hapo Kwa Swahili Rasta sio kweli...Swahili au waswahili ni watu WA inchi kavu..mbayo inchi kavu karibu na Bahari maana yake ni sahel..tuko huku kwao ss.
2026-07-27 14:28:07
0
hosanna572
[email protected] :
Sasa nakuuliza ivi hakuna ata maandiko ndani ya biblia inayo taja waharabu?
2026-07-26 06:21:43
0
j.cobra.com
Jcobra :
mh hatupigwi uko msiende
2026-07-25 21:57:25
0
usac.english.trai
USAC ENGLISH TRAINING :
Muulizaji unamkatisha sana huyo jamaa. Vitu vingi akitaka kuelezea unamkatisha.
2026-07-25 21:18:39
0
parakuyo255_jr
Sanya Scott. :
❤️❤️❤️
2026-07-25 20:44:20
0
dechrispt
Chris :
Strong’s H4406 ni namba ya neno la Kiaramu (Aramaic) katika Biblia (kwa sababu baadhi ya sehemu za Agano la Kale ziliandikwa kwa Kiaramu). H4406 = מִלָּה (millah) Maana zake: * Neno * Kauli * Usemi * Jambo / habari / taarifa (kutegemea muktadha) Linatokana na Kiaramu, na linafanana na neno la Kiebrania מִלָּה (millah) lenye maana ya “neno.” Mfano wa matumizi: * Danieli 4:31 (katika sehemu ya Kiaramu ya Danieli) linahusiana na “neno/kauli” iliyotolewa. Kwa hiyo: H4406 = Millah = neno, usemi, kauli (Aramaic).
2026-07-26 11:44:09
0
To see more videos from user @sub_sahara_israelites_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About