Katika ma Agent wote wa Mombasa Abdul ni wa kipekee na sina shaka nae namfahamu vizuri sana na hana ubaguzi
2026-07-22 09:27:23
2
🦋 أم.سعيد🦋🍁 :
siamini mume Wangu ashvunjika Moyo n hizo interview wapita vizr n huchukiliwa Kuna watu wao washaekwa maagent wameek pesa mbele Sio utu Kuna n kufa
2026-07-21 20:10:14
8
Mr.galby :
nilifika huu mwaka watatu nasubiri simu mpka Leo mpka cv zangu hamujui mumeweka wapi
2026-07-22 03:24:17
2
rahilu zuberi :
commission ni ngapi
2026-07-22 09:05:04
0
mammy rey :
kw abdhul ndio wapi wengine tuna kaka zetu
2026-07-21 23:10:54
1
Hassan :
Allah ndio hutoa rizik na ikiwa yako imeeandikwa hamna mtu wakuizuia kwa wale walofika office wakapata changamoto au kutopigiwa simu ni sababu kua rizik haijafika ila msikate tamaa inshallah tuzidi kuombeana dua na tuamin katika kadar na allah
2026-07-22 04:31:13
4
ummuh ruqya :
my husband aliwahi safirishwa alha.dullillah sio uongo
2026-07-22 04:34:41
4
Idijuma Abdul Faraj :
mashallah Abdul ni agent mzuri Sana Hana ubaguzi,ni mtu wazamani Sana kwa hiyo KAZI Hana ufisadi kwa hiyo vijana wakajaribu.
2026-07-22 05:36:41
1
kicks#E :
ni kweli ama??
2026-07-21 13:52:02
0
Mkaidi :
Hio niukweli kabisa lkn dereva ndio wanachukua coz my husband amesafir kupitia hio almarai agencies
2026-07-21 23:50:19
0
user7517029481390 :
na mshahara ni ngapi? mbona hawakusema?
2026-07-21 19:23:31
1
BEIB MAMA❤🫦❤️ :
Niko na mtu lkn passport yake haija toka ila kukiwa na nafasi kama hii niambie bro sawa
2026-07-22 08:10:01
0
garow :
wanpeleka wapi alfu kuna kazi gani iko
2026-07-22 07:06:55
0
jay sela :
jazakallah Khair
2026-07-22 04:39:00
0
Hassan :
Kwa wale wamefika Leo office waambiwa kazi ni driver pekee msivunjike moyo nendeni tena inshallah mtafaulu lot zipo tafauty
2026-07-21 16:31:29
1
Hassan :
assallam aleikum,please inbox imejaa kma mwataka kazi hizo tushapost stoweza jibu inbox kila mtu maswsli yote fikeni officini HR connection maswali yote tutawajibu muhimu subra na imani shukran💪🏼💪🏼🤲🤝
2026-07-22 09:47:32
0
𝑝𝑜𝑜𝑟 𝑏𝑖𝑙𝑙𝑖𝑜𝑛𝑒𝑟 :
kitu kidgo lzma muhimu inshaallah ntafika 29 experience stell bado niko nayo
2026-07-21 20:38:53
0
Barbie :
kwa abdul ndio wapi
2026-07-21 20:23:30
0
Noorkhan _khaleed. abdalllah :
je mtanzania aweza chukuliwaa? akiw n passport yake
2026-07-22 11:33:15
0
bilush thatha :
hamna za waschana
2026-07-22 09:48:54
0
Jasho_Languu :
wsalamu bro...thanks kwa useful info.almarai waja na jobs gani.thanks
2026-07-21 20:35:09
0
omarmohmed274 :
kazi Gani?
2026-07-22 02:49:35
0
Abuu Auto Fix Garage :
mpaka ukue na ce ama ukiwa na bce
2026-07-22 06:08:54
0
To see more videos from user @babshizo, please go to the Tikwm
homepage.