Hata kama unapitia changamoto gani hakikisha unakula😂
2026-07-21 14:22:02
4365
AlikoAlikanto :
Wanaomkubali lisu gonga like hapa tujuane
2026-07-22 04:04:55
4218
raphael :
huyu mwamba kiukweli nikusudi la Mungu
2026-07-21 16:08:43
1793
Aludo Makori :
kwani wafungwa cku hizi hawanyolewi?
2026-07-21 18:14:16
976
Kasiri255 :
Daah-!!! Pamoja na kukaa mwaka mzima gerezan lakn bado anatabasamu la ushindi
2026-07-21 17:46:31
2424
Alfred Musa (Ukoo wa Yesu) :
Kama sio ndugu yako, mwanao ama mzazi wako huwezi kuyajua maumivu wanayopitia jamaa zake. sema anapitia hayo maisha kwa ajili ya watu ambao wapo bize na mambo yao😳
2026-07-21 17:33:00
885
Jay Jay Ndagassa :
huenda akawa nelson mandela wa tanzania
2026-07-21 17:41:27
1196
Hoc :
Mungu ulie msimamia Paulo na Sila gerezani milango ya gereza ikafunguka,ukamlinda Danieli katika Shimo la simba akatoka salama pia wale vijana watatu kwenye tanuru la moto ukaonekana wa nne nao wakatoka salama. muonekanie na Lisu Ee Mungu ni maombi yangu ni maombi ya wa Tanzania🙏🙏🙏🙏
2026-07-21 18:26:22
750
LEGEND BOCO🥶 :
daaah lisu kawa rasi😁😭😭
2026-07-21 20:30:58
6
Rajan Vivaa :
lissu ninamkubali sana
2026-07-22 11:19:02
6
Mbarikiwa Kalunga :
tutafute hela yaani mtu ni mfungwa lakini amechangamka kuliko waliyo mfunga
2026-07-22 07:38:05
313
ashy 💯 :
sijui nalia nn ila mungu ajawahi kuacha mtu ateseke miaka yote🥺
2026-07-22 06:38:07
307
papaamuyella :
Strong man never give up
2026-07-21 18:45:00
64
feith💋Sizya♏ :
nilichojua hata hawa askari ni bac tu wafayeje wanafat amri kutoka juu
2026-07-21 19:39:58
131
💰🍾Mayya ✨🍭 :
na ana waamlisha ma police kwenda kula nime pendaa😅😅