@sheikh_khalifa_khamis: BAKWATA KINACHOENDELEA 👆Tembelea MIZANI ONLINE TV YOUTUBE KUANGALIA CLIP HII KWA UKAMILIFU https://youtube.com/@sheikh_khalifa_khamis?si=7eLi8X-fHZL5p2Zt

Mizani Online tv
Mizani Online tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 10:57:55 GMT
3592
140
9
20

Music

Download

Comments

eddykibonzo
Eddie785 :
Ni kweli
2026-07-26 02:59:41
0
salmapesapesa
Tumpende Mungu :
sema babaaa
2026-07-26 06:41:59
0
sanduulemo
Sandu Ulemo zabibu :
waovu wengi huenda wakapata rehema mbele ya mungu kuliko wale waonekanao wema! katika msjmbo ya mungu!!!
2026-07-25 11:10:05
0
omarimwaniki
AL-HAJJ UMARU MWANIKI :
Subuhanaallah
2026-07-25 05:53:56
0
hamqaati
hamqaati :
uzuri sio baraza la waisilamu wote wale waisilamu wenye baraza lao ndio wanaona haaya kw uovu wa taasisi yao Allaah amrahamu mzee wetu mwinyi
2026-07-25 10:47:46
1
hatma.kidogo
Hatma kidogo :
nikweli
2026-07-24 18:08:08
0
user4338398795828
user4338398795828 :
kwakweliiii ndivyoo ilivyo kabsaaa
2026-07-22 14:14:56
1
fatima.iddy
Fatima Iddy :
subbuhannallah,,, wallah niaibu,,,sasa kama yapo wazi hivyo kwa nini wasiwekwe kando bakwata likavunjwa likawekwa utaratibu mwingine,,,ndio maana hawaoni hata vibaya kuwekeana fitina,,,haya sikieni hizo aibu mungu wangu,,,yaa Allah tupe viongozi wenye hofu,,hawa wabakwata hofu tena hawana,,, mtihani yaa Allah duh,,🙄
2026-07-22 10:36:43
1
mohamedihamisi770
Mohamedi Hamisi :
umesema kweli hapa kwetu kunashehe wakata anakunywa konyagi nimeshuhudia mwenyewe mungu amuongoze
2026-07-26 12:38:34
0
To see more videos from user @sheikh_khalifa_khamis, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About