@bongo.media1: Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Tabora Kamishna msaidizi wa Polisi, Twaha Lulengelule, ameongoza oparesheni ya kushtukiza ya ukaguzi wa vyombo vyote vya moto katika barabara ya Tabora - Kigoma maeneo ya Kata ya Chemchem Tabora Mjini huku akisisitiza madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani pamoja na kuwachukulia hatua waliobainika kuwa na makosa yasiovumilika.
yaan kosa dogo tuu unafungia leseni ya deleva hivi mnajua shida Wanazopitia wakati wa kuzitafuta hizo leseni
2026-07-21 17:23:14
13
Sarah_♥️TboY♥️ :
fuatilieni nà njia ya urambo viasi vinakimbia sana
2026-07-22 09:40:37
0
Ann :
safi sana maana kuna basi nilipanda usiku yaani nawaona madereva wanakunywa pombe na kutafuna ugoro mbele yangu
2026-07-21 18:32:27
5
Mam Light :
Hilo tu ndo mmeona la Maana et
2026-07-22 04:52:13
0
Jacky Lucas :
Afande unaepima ulevi nimekupenda ☺️
2026-07-22 04:33:37
0
careerconnecttz.com :
sema 7bu kuna camera
2026-07-22 05:46:33
2
Nana_Mossy(Tasiana) :
kwanini wachangie kipimoja jamani sikuambukizana
2026-07-22 06:42:44
1
lizzy🧚♂️ :
mbn kama afande amelewa 🏃
2026-07-22 08:03:59
1
gracejoseph68 :
hiyo ndiyo kazi sasa mnatakiwa mfanye
2026-07-21 18:11:30
5
Mariam :
safi sana munge tusaidia na mukoa wa iringa ajari zime kuwa nyingi sana
2026-07-21 19:38:49
3
CHRISTOPHER GABRIEL KAMALI :
Kipimo 1 Kiafya Inakuaje
2026-07-22 04:58:49
1
amina nkwande :
kaz mzuli sana kaka
2026-07-21 13:49:02
3
omary bin sabuni :
fanyeni kazi makamanda bila kuchoka
2026-07-21 16:28:05
15
Introvert :
ila Tabora n mkoa wa kijeshi na kipolis khee 😏
2026-07-21 18:51:46
1
@its.d@huu😃🫰 :
bwana angu kaisha 🤣🤣
2026-07-21 17:12:50
2
careenemmanuel14 :
Tabora ipur kwetu
2026-07-21 16:51:57
3
Dee official :
waoo tabora oyeeee
2026-07-21 19:07:48
1
RS STORE🔥💪 :
nlipanda gali Moshi saa3usiku nikashuka kibaha 8kasolo sijafunga jicho kama mimi ndodereva tokaiyosiku nikisafili usiku lazima nipange VVIP
2026-07-21 19:10:41
1
mama p :
mtaishia kuwakagua hao ila juen kua siri ya ajari wanajuaga wamiliki wa hayo mabasi mtu ana bus20 anashindwa kutoa kafara ya gar1 la abilia zaidi ya 60 wafe mambo yake yaendelee kuwepo?
2026-07-21 20:12:29
1
To see more videos from user @bongo.media1, please go to the Tikwm
homepage.