@gideonimathew: Hii dunia ina watu wabaya sana na ndo hapo utakapojua madhara ya dambi, dhambi imemfanya mwanadamu awe zaidi ya mnyama, nenda YouTube ukapate ushuhuda huu wote. Gideoni Mathew #gospel #mirerani #Injili #shuhuda #goviral

gideonimathew
gideonimathew
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 11:16:50 GMT
46119
3015
87
41

Music

Download

Comments

its__airo
Edwin Airo :
Shida kaka video zako youtube ni audio dubbed na sikia English
2026-07-24 11:51:28
0
mirryronwell
Mirry🎀 :
part 2 unitag please
2026-07-21 13:04:19
6
user1631433928125l
user1631433928125leah :
pat 2 pasta pia nakukaribisha dodoma
2026-07-21 13:37:25
4
cecilia.minja
Cecilia Minja :
mwendelezo kaka
2026-07-22 07:03:38
2
aisha.jackson87
aisha Jackson :
mwendelezooo
2026-07-21 17:52:20
4
boealone47
Boe Alone 💔💜📸🗿🪾 :
shida miendelezo ndo chenga
2026-07-23 21:18:06
1
selemanih
S.M 💧💦 :
weka link ya youtube kwenye BIO yako mkuu
2026-07-21 17:25:38
7
isher033
nailove :
Muendelezo
2026-07-21 14:40:20
4
tinah.zakayo8
Tinah Zakayo :
Aya twende kwenye pointy
2026-07-21 20:34:46
2
esthernyamhokya
esther nyamhokya🥰 :
next
2026-07-21 20:03:21
1
mamj601
mwajumahaji702 :
Eti siutamalizia jamani. hapa kuna funzo kubwaaa sana
2026-07-21 12:56:38
3
rollinrozz
Rollin Rozz :
That's true
2026-07-21 19:09:53
2
user9334707565582
belinda :
ngoja niendezangu you tube kwanza
2026-07-21 19:59:14
4
dadake78
Hella :
part 2
2026-07-21 18:55:28
1
petermathiasswai
Peter Mathias Swai :
sure, glory to God 🙏
2026-07-22 05:34:27
3
dapric
barakamichael73 :
kweli kaka
2026-07-22 06:05:21
3
kyara1978
rose kyara official :
😢Sana 💯
2026-07-22 19:18:11
1
ndukoliz
elizer :
ukweli
2026-07-21 13:06:03
2
nikoambaeniko
niko ambae niko :
kweli n mapepo
2026-07-21 17:13:31
2
wina.luoga
Wina Luoga :
next please
2026-07-21 18:19:23
3
denisisrael7
denisisrael118 :
Amina
2026-07-21 12:32:14
2
mkorogaji
mkorogaji :
mhh nikubaya
2026-07-21 14:08:51
2
chayavillage
chaya village⭐️ :
dunia ni matatzo kutengeneza na kutatua ndiyo hii siyo kwa binadamu tu hadi kwa wanyama yaani matatzo yako ni fursa kwa mwingine
2026-07-21 12:32:03
4
thomasny
thomasnyambo :
sasa kaka kweli natamani niache yote nikufuate je nitapatanini
2026-07-21 18:52:51
1
getruda4017
getruda :
ndiomana MUNGU ALIFICHA MIYO raiti kama angefungus MIYO ingekuwa hatari sana
2026-07-21 20:20:55
1
To see more videos from user @gideonimathew, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About