duuu gotani mpka mavueni๐ณ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ a distance of almost 400
2026-07-21 21:18:27
3
Becky Beryl :
God have mercy
2026-07-21 14:51:01
2
๐ฅ๐ฅ037 :
not when am a live God I need strength
2026-07-21 18:59:18
4
Edmar๐น :
I will always choose and protect my son...
2026-07-21 19:20:52
3
loise :
wa mama tuonyeshane watoto kwenye tuliwatoa hata kama hakufai waonyesheni tu
2026-07-21 18:13:27
35
pure wealth :
km ushai ishi life ya kutomjua babako u can relate this ,it really hurts
2026-07-22 07:20:42
4
Marasimio :
oooh Nooo ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
2026-07-21 19:37:18
2
Mama Kiki :
Another day to cry with a stranger eeeh mungu ingilia kati
2026-07-21 12:49:49
8
Goma Ra Chiduruma :
wacha ni fanye bidii ju ya watoto wangu ak
2026-07-21 20:12:43
9
mamake kababaa :
pole.kaka mungu akufunguliye milango upate kwa kuishi
2026-07-21 18:57:04
3
beryl monalissa๐ฅฐ๐ฅฐ :
wangu ni msichana lakini hata kuendeje mimi humwambia ukwwli and thank God babake humfatilia sana nataka azoeee kwao shule zikifunga anaenda
2026-07-21 19:10:31
14
Magreth Kateti :
Aysee Mungu nipe moyo nilee watt wangu na mtu atakae nipenda pamoja nao
2026-07-21 16:21:08
5
loy :
najiluliza tu ile siku ya mwisho itakuwaje
2026-07-21 13:26:57
5
โก.it's @bby :
hta pia mm nilipitia hiyo life pole kakangu
2026-07-22 07:39:21
1
Lavine :
Aki nimeona huyu nikalia tu my boy is almost 3yrs and his father died na kwao hakuna hata hiyo shamba mungu anisaidie tu nifanye kazi nimtaftie mahali ataishi