@elimethu63:

elimethu6
elimethu6
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 11:17:26 GMT
284771
13540
371
175

Music

Download

Comments

salmamsogoti1
Salma Msogoti :
🥹🥹 mungu tujaalie ridhiki tuweze saidia wazazi wetu wakiwa bd wapo hai 🙏🙏🙏
2026-08-07 13:23:13
93
mchizi..kichizi1711
it's omy 🥰 mapenzi :
me mam kafarki natman angekuwepo ale mafankio yangu
2026-07-22 18:32:41
26
tafari.amina
Japhari Saril :
daaah sio utani roho imeniuma mnooo
2026-07-22 14:18:43
20
user833460623702
nkashabaakweka :
mungu tujalie riziki tuwasaidie wazazi wetu
2026-08-08 12:19:39
11
user3191885731428
Isaac Raphael :
heshima Kwa mama na baba pih
2026-07-22 08:28:09
9
ammyster2
Mr j :
dah penda sana mama angu
2026-07-22 08:32:46
5
ngailameshack
ngailameshacki family :
daaaah mama katuma meseji yenye maneno yanayoka moyn huwez sahau ilo meseji ukiwa kz mungu tujalie kipato tuwatimizie mama zet
2026-08-07 21:11:32
6
user8290701310196
lutema jr :
mungu awabarik mama wote.
2026-07-23 14:37:57
5
estherbenito393
pretty ther🦋❣️ :
sikutaman kuona hii sms imeniumiza sana nakumbuka life la mama angu mungu amulinde mama angu akuna mtu naempenda kama mama
2026-08-08 08:52:37
9
aminawazir585
Minah :
mung akuweke mama ang
2026-08-07 16:14:50
0
husna.minaji00
husna.minaj🫧 :
Mungu nilindie mama angu dah😭😭
2026-08-07 16:37:52
0
black.beauty8372
cute E 💝 :
🥰mama
2026-07-23 20:08:33
0
shamiraabdallah3d8
[email protected] :
sitasahau mama angu alikuwa anaumwa na akapelekwa hospital kaa miez7 ananipigia cm nipo shule form two anasema muombe mwalimu ruhusua uende nyumbani watu washamaliza kuvuna sahv ukaokoteze mahindi shambani kwako maana sina viatu wala nguo za ndani vimeisha unitumie hela, mtu hawezi elewa jamani mtu ukiwa unasimulia anaona kama anaongea rahisi lakini kiukweli nimeandika comment hii machoz yananitoka😭😭 majirani wakawanasema asingekuwq huyu binti hii nyumba ingesambaratika ila amepambana sana vikoba brack anamichezo kama3 na mm ndo mkubwa
2026-08-09 05:40:52
1
suzeth907
suzeth :
kwa heshima mom
2026-07-22 23:59:18
0
kizuri88
rehabu......me...! :
😭😭😭 hiyo ni simu ya mama angu mwezi wa 6/12 aliomba viatu nilinunua lkn moyo umegoma kuridhika nahisi bado sijamridhisha mama angu......😭😭😭
2026-08-09 06:47:24
0
user2682714674036
@m@ :
kwaeshima mama nitanunua
2026-08-10 16:41:04
0
mbwambo2025
Wilson :
tukumbuke tunapotoka 👊👊👊👊
2026-08-07 16:25:17
0
chars.emanuel
char's 770 for life 🔥🔥🙏💪 :
🙏🙏
2026-07-21 17:05:47
0
sikudhani123
Sikudhani Abdala :
sawa mama
2026-07-23 14:11:07
0
user4590581831483
45 🌎 :
dah
2026-07-22 02:27:55
0
hellenjohn78
It's me hellen🦋🍫 :
love u mom
2026-07-22 22:46:51
0
user86905665812245
VIECHA :
nampenda sana mama
2026-07-23 11:16:23
0
user5271868118372
zamda :
Usijaliii mama yangu utavaa sana misomali na vitenge vya Duanas
2026-08-09 10:01:06
1
user61512372811424
ma t :
najickia uchungu mama yangu alifariki nikiwa Bado cjakomaa akili daaah naumia sana jamani
2026-08-07 20:03:23
0
mollel8m
Miss. mollel☘️🍃 :
duuuh moyo wangu umeuma sana dada angu pole eeeeh🥹
2026-08-09 13:58:28
0
To see more videos from user @elimethu63, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About