@zungukakereog: #creatorsearchinsights #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #maandamano #trending

Kaka wa taifa tz
Kaka wa taifa tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 11:28:59 GMT
14112
627
57
25

Music

Download

Comments

asante.mungu
Asante Mungu :
mobilization ni ndogo sana. 😂😂😂 tone tone hoyee... uchu wa madaraka hoyee.... nchi kwanza mengine baadae
2026-07-21 17:17:14
9
satyenyi
satyenyi :
Hawajamwambia Lisu ukweli kuwa wanachama wamevurugana huko nje 😂😂😂
2026-07-21 13:43:50
8
makame009
Makame47 :
tamaa ni mbaya sana
2026-07-21 21:33:36
2
deo.said
Deo Said :
Siasa ni mchezo mchafu sana haitakiwi umwamini mtu kila mtu anajipambania yy kwanza staki kuamini ety lisu kasalitiwa no ila kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi 😂😂
2026-07-21 18:28:04
2
amina.abdullah462
Amina Abdullah :
watu niwachache 😂😂😂
2026-07-21 13:03:07
3
mr.rich4637
Mr rich :
Si wanasemaga ccm wanabeba watu kwa magari??
2026-07-21 18:13:34
2
mammytriple3
MISS SPLENDOUR😜🤗🤗 :
ni kwel watu wachache ila bin Adam ni wengi
2026-07-21 13:22:12
1
kala.mzuluvendi
Kala Mzuluvendi :
Wamwachie tuone kama kwel Lissu kasalitiwa sasa kama mnajua kina Heche wanataka akae ndani kwa nn hamumuachii ili muwafedheheshe akina Heche
2026-07-21 16:13:56
0
azizi.moshowe
AZIZI MOSHOWE :
sisi hutuja msaliti na hatuto msaliti abadani pamoja tunasonga mbele
2026-07-21 13:08:26
2
khamis7314
khamis :
Wanasiasa sio watu wazuli
2026-07-21 18:54:45
1
makasi596
Makasi :
Atatoka tu mungu yupo pamoja
2026-07-21 15:36:14
1
goodterrorfav
goodterrorfav :
Watajaa hapa kukutukana hao wala hawatosikiliza
2026-07-21 18:43:22
1
pilimmbaga
pilimmbaga :
sawa kabisa
2026-07-22 12:53:59
0
ramadhanisalimu68
Ramadhani Salimu :
WATANZANIA HATUTAKI DEMOKRASIA KATIKA NCHI HII DEMOKRASIA INATUGAWA
2026-07-22 09:31:45
1
jademulla
Jade mulla :
kwahiyo unataka kufanyaje
2026-07-22 05:20:40
0
jay.b.boy.omwana.wa.yika
JAY B BOY :
mimi sjamusikia alicho sema
2026-07-21 21:03:51
0
huyo.ni.mimi.kabi
huyo ni mimi kabisa :
watu wanatafuta zao hela
2026-07-21 19:31:07
0
user1992158381065juma
Juma Halifa :
kusema watu niwachache hakumaanisha waliohudhuria elewa
2026-07-22 13:26:19
0
nsellu
nsellu :
sasa kwani ameongea vibaya
2026-07-22 03:22:36
0
saidi.daudi88
Saidi Daudi :
siasa sio kazi niuongo mtupu
2026-07-22 13:44:10
0
khan.boe3
ndingo :
fact
2026-07-21 19:38:36
0
mrsmouricy
mrsmouricy :
Yani wana siasa wanatuzea kiasi hiki
2026-07-21 17:18:08
0
To see more videos from user @zungukakereog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About