@samsung.255:

samsung tanzania
samsung tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 11:48:05 GMT
171016
5460
509
2394

Music

Download

Comments

crimson_sj.8
Suzie James :
Napenda Samsung kwa moyo wangu wote but not enough to get a smart fridge. But it's cool.
2026-07-22 02:31:03
0
bosswalk_
bosswalk_ :
Friji ulinunue milion 7 bado kulifungua uliombe😂😂 siwezi kuwa mimi, ingebidi likiniona tu natokeza lianze kuniuliza nataka nini huku linafunguka
2026-07-21 17:58:31
216
killydavis
Jimbo la vunjo :
I wonder😂😂😂😂
2026-07-21 20:58:59
0
pc39866
pc :
Linajua kisukuma?
2026-07-21 17:29:04
39
bibibomba0
Bibi bomba :
nikinunua hii nitahakikisha naibeba bila box ili majirani waione kwanza
2026-07-21 17:19:05
35
h.u.n.t.e.r701
_.yrn_h.u.n.t.e.r☠️ :
Samsung for life😌
2026-07-21 18:10:57
1
miriammtel
Mom❤️kendy🦋 :
pesa yangu haiwezi kunitesa kiasi hicho kama kingereza sikijui nife njaa 😂😂😂
2026-07-21 19:39:03
29
itsrealme...........0
✨️ LUNARA🌙☀️🌟 :
ndo muuze M7.5😂😂
2026-07-21 16:41:46
0
koganelectronics
koganelectronics :
samsung 🫡🫡🔥
2026-07-21 21:34:30
0
kakawachuo
KAKAWACHUO🎓🎓 :
Uwo mda wakusubili sina Nikiwa na njaa 😂😂😂 Yani siwezi Omba ruhusa kwa Mali yangu 😂
2026-07-21 18:43:08
36
lastborn0737
Mziwanda collection 🥰 :
nikae mda wote huo naogea na frij si bor nifungue tu😂😂😂😂
2026-07-21 17:48:00
9
ibrahmngoni1
ibrah mngoni :
Sasa mbona bei ndogo sana hebu leta fridge lenye bei kubwa aisee nipo katoro
2026-07-21 20:35:17
9
zaylee6266
zaylee :
Nimeipenda ila kizungu cjui😂
2026-07-21 16:33:15
9
abby.waheed
Abby Waheed :
Hili lenyewe kabisa linaweza lika mpeleka mwanangu shule asubuhi na hata kuwa burudisha wagonjwa wangu 😂
2026-07-21 14:57:14
7
elly.joli19
Ma joli :
hata kisukuma inaelewa maana nipo katoro nimeiyelewa
2026-07-21 16:52:43
1
michael.joshua62
michael joshua :
Kiswahili inaelewa boss
2026-07-21 13:53:06
0
userfatmkombo
fatma 🧕🏼🥰🦋 :
mnapatikana wapi ili nije mniambie natoa wapi Iyo ela yoteee🤣
2026-07-21 21:59:42
2
fedrickmadaha
fedrick madaha :
eti kitu unachohitaji iambie ijijaze vitu
2026-07-21 19:56:31
1
emanuel_hms
Rider_$94 :
Yani kuwe na mirinda ya barid humo alafu nipoteze muda kuongea😂
2026-07-21 23:54:56
1
To see more videos from user @samsung.255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About