mama angu mungu akuongezee akulinde pia akilin mwangu heshima yako ni nikubwa isio potea 🕋🙏🤲💚💜🩵
2026-07-21 20:18:17
9
kondeboyz :
je nikweli
2026-07-22 09:51:24
1
sensb_ze best :
hii nchi kweli uhuru umewazidi, yaani mtu anaongea chochote tu
2026-07-22 10:50:12
1
Benson Sebaatian :
afee tu
2026-07-21 20:00:42
3
muddy rashid11 :
naona uhuru wa mitandao inavuka mipaka sasa
2026-07-22 11:51:17
1
Husseinbakar891 :
Hata akitangulia mbele ya Haki,hicho si kitu cha ajabi,Mmbora WA viumbe Muhammad S A W alinambia ishi unavo penda ila kuna siku utakufa kwaiyo kifo sio kitu cha ajabi.
2026-07-22 12:11:34
5
daudi :
afeeeeee 2222
2026-07-22 05:53:32
1
To see more videos from user @taarifa77, please go to the Tikwm
homepage.