@chief_maalim_mpiri1:

KING OF THE KINGS EAST AFRIC✅️
KING OF THE KINGS EAST AFRIC✅️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 12:12:11 GMT
145172
3146
128
176

Music

Download

Comments

salma.shabani10
Mrs Hussen moto og❤️❤️❤️ :
Tupumzisheniii jamani tanga sehemu gani sisi tupo tanga hatujui 🤣🤣🤣🤣
2026-07-22 08:39:05
14
user1466088251458
Bishop Dr. Stephen G. Mwangi. :
God is against witchcraft in JESUS NAME! Isa. 8:19.
2026-07-22 05:55:08
6
karungi.joansen
Karungi Joansen :
hata watu wote waishe ulimwengun kote , bado sitaamin miungu mingine bali,JINA LA YESU KRISTO ndio linaniongoza maisha yangu yote
2026-07-22 10:15:23
4
pauldaniel2558
paul :
Kaburi la mpinga YESU.
2026-07-22 05:56:29
3
user2636767266916
zainabu :
mm apa moja siamini
2026-07-21 14:12:37
6
grace.karata0
Grace Karata :
Sio Tanga bwan mtupumzishe😂😂😂😂
2026-07-22 05:59:17
7
heavenlightness35
@jolly :
Tanga wap kaka mbn unawaongopea watu🤣
2026-07-22 11:28:36
3
khalifajumannekwi
Khalifa jumanne kwimba :
kabuni ni miongoni mwa bustani za peponi kwa mtu mwema pia ni shimo miongoni mwa mashimo ya motoni kwa m2 muovu sio nguvu za asili mm napinga
2026-07-22 16:45:11
1
richkido92
Richkido :
Alafu wacha kudaganyawatu kwahiyo hapo ni usiku au
2026-07-21 13:20:54
0
user82055397661136
honey done🎶🎸🎧 honey bless :
nilixha kuonea kwa macho yangu
2026-07-22 10:18:13
1
fulaha.adamu0
fulaha adamu :
ee mungu tujaluee mwisho mwema
2026-07-22 07:20:02
1
user6594018617143
user6594018617143 :
usitudanganye bwana
2026-07-21 13:55:16
3
wiztozzi_
🇰🇪𝗪𝗜𝗭 𝗧𝗢𝗭𝗭𝗜🍁🧸 :
AI iyo
2026-07-22 05:08:43
1
sharon.atetwe6
Sharon Atetwe :
Dunia ina majabu yake
2026-07-21 20:57:44
2
saidsalumsaid5
Saidsalumsaid :
Habar bro
2026-07-21 14:03:06
2
mamuu_cakes_and_bites
MAMUU CAKES AND BITES :
Uongo
2026-07-21 22:38:33
1
sarahghava
sarahghava :
uongo
2026-07-21 19:44:10
2
ramadhani.amir2
Ramadhani Amir :
brather nimechukua muda kuku sikiliza ivi vitu unavyo visema vilikuepo kwa wazee wazamani kwakipindi hiki apa hakuna kuna mzee mmoja alikua anaitwa mwamwanu alikua iringa na kasha fariki lafiki yangu alienda kuchukua izo nguvu na fimbo inayo pigwa sio mkole inaitwa mundu na haupigwi juu jakabuli unapigwa katikati ya makabuli wananyanyuka watu wote sio mmoja rafiki yangu nguvu haikukaa sana nasasaivi nguvu zenyewe hana nahapa katikati tumehagaika kutafuta mguvu tumeishia kupoteza ela nakupata kawaida kwaiyo watu tunzeni ela zenu vitu ivi vilikuepo ila kwasasa vimepotea asanteni
2026-07-22 11:13:51
2
bindiwanitv
black tiger :
acheni kutuzushia watu wa tanga
2026-07-22 07:44:47
2
tumaah17
Tumah🦋💗 :
Sio tanga jaman khaaa😂
2026-07-22 06:36:17
1
gaudencemwalongo6
lukemelo Mwalongo SON OF GOD :
nazani mpka nione ndo naweza kuamini
2026-07-21 14:01:25
1
To see more videos from user @chief_maalim_mpiri1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About