@khalidimagari:

Khalid magari
Khalid magari
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 12:13:16 GMT
49434
2741
53
61

Music

Download

Comments

nwakajekella
Nwaka Jekella :
Kama kuna kitu wabongo tunakifanya bila kujua nakinachangia 98% kufupisha maisha ya injini za gari zetu ni kuongeza maji kwenye rejeta badala ya coolant hata kama ungenunua maji ya kawaida ya bei kubwa ni hatari Kwa injini ya gari lako faida za coolant 1. Ina madini Maalum yanayo Linda engine block 2. Haipati kutu 3. Haipati joto kuzidi jotolinalo takiwa kwenye injini 4. Haigandi hata ukiwa kwenye sehemu za baridi Hasara za kutumia maji ni kinyume cha hizo faida za coolant Hatari kubwa Sana ya maji ni zile sehemu zinazopitisha maji zinaitwa water gallery au jacket kupata kutu na kusababisha gari kuchemsha
2026-07-21 15:30:13
15
mr.kessy5
Daddy A. :
kujaza maji nishajua...bado gari yenyewe😌😌😌😌😌😌
2026-07-21 13:24:15
7
neymosha3
neymosha❤️🦋 :
Adi raha ninunue gar sasa
2026-08-05 09:59:58
0
user1226855912220
DAVID KASANGA :
sante teacher nazingatia hyo jambo
2026-07-22 12:03:41
2
eksaleonald
EKSA LEONALD :
kaka naombaunifundishe nishigapi
2026-08-07 22:09:07
0
americars96
Kelvin_969_ :
Elimu ni nzuri sana kaka ila cha kuongeze next time usiwashauri watu waweke maji washauri wanunue kwaajili ya kupooza engine zao watu waweke coolant sio maji
2026-07-24 15:57:13
0
yohanapoul871
Yohana Poul :
nakukubali sana
2026-08-08 13:23:28
0
christina_mwambalaswa
Blessed Girl 🏹 :
ngoja niwe najifunza kupitia wewe maana ndoto ya gari ninayo ndio wimbo wangu kwa mwaka huu
2026-07-22 16:19:03
2
fidelis318
fidelis318 :
Oil mkuuu
2026-08-02 09:03:11
0
cevookemzone
cevookemzone :
muhim iyoo
2026-08-05 06:22:05
0
praqdapeace
praqdapeace :
ngoja niku follow tu
2026-08-05 07:39:08
0
kipungo
KIPUNGO :
kwaiyo yakimwagika mwagika hayana mazara na apo palipoandikwa full unayaona kwa ndan anapofikoa
2026-08-05 11:31:20
0
epimarcksulle
Epimarck Sulle :
hiyo allion unauza mkuu
2026-07-21 14:16:01
0
userlivunest
SINA SHOBO :
hiyo gari bei gani
2026-08-05 12:00:11
0
9519wwwww
wa ngofi 💪 :
tuko pamoja mpaka nijue
2026-08-05 14:24:24
0
user5803465307863
torenza :
unaambiwa coolant we unaweka maji!
2026-07-21 18:32:16
1
thanian010
abdallah25455 :
Ukiona gari sasa kisasa inawekwa Maji ya kawaida badala ya coolant kaa nayo mbali
2026-07-22 01:10:28
0
karimmveyange
karimmveyange :
NIKUSWALIKE SWALI MDAU WANGU. NI WAKATI GANI NITUMIE COOLANT, NA NI YA RANGI GANI⁉️
2026-07-21 18:57:47
0
user288285704429adery
❤️ 🚮 :
kaka naomba kujua Toyota IQ
2026-07-23 16:33:20
0
michael.dede6
Michael dede :
ukosawa mbwana kaka kuwa mwalimu
2026-07-24 03:46:23
0
trent_emmanuel
Trent Emmanuel :
hiyo gari nikiihitaji shingapi boss
2026-07-24 06:20:47
0
user1190767yyttrr
Larce :
asante
2026-08-09 08:49:53
0
ntabayebe_becks
BEN & BECKS Ntabaye :
tusisahau kucheki na oil pia
2026-07-26 06:17:15
0
darvdgeek
darvdgeek :
kaka hapo ni coolant mzee,maji sio sawa kwasababu ya heating mechanism yake na yanasababisha kutu mwenye engine.Ila una elimisha vzr.
2026-07-25 16:13:47
0
salumfahadjr
Salum Fahad Jr :
maji au coolant?
2026-07-21 18:14:38
0
To see more videos from user @khalidimagari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About