@mwalimuhurumagadi: Wakristo wengi wanamfahamu Ayubu kwa uvumilivu wake, lakini je, kuna somo lingine muhimu ambalo mara nyingi halizungumzwi? Katika video hii, Mwalimu Huruma Gadi anafundisha kuhusu sehemu ya maisha ya Ayubu ambayo watu wengi huipita bila kuitambua. Utajifunza jinsi hofu, fadhaa, na mtazamo wa imani vinavyoweza kuathiri maisha ya Mkristo. Clip hii ni dondoo kutoka somo “NAFASI YA MAOMBI KATIKA KUTIMIZA MAPENZI YA MUNGU” pata somo kamili kuatika YouTube Channel ya Mwalimu Huruma Gadi

MwalimuHurumaGadi
MwalimuHurumaGadi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 12:33:12 GMT
7814
617
0
47

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @mwalimuhurumagadi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About