@lidai388: #nabiimswahili #mkojani

MADEBE LIDAI
MADEBE LIDAI
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 12:36:13 GMT
119315
7300
98
104

Music

Download

Comments

bantu_techs
BANTU TECH'S :
fun fact....🤔
2026-07-22 05:47:28
0
iddimadrid
iddimadrid :
madebe ni genius!!
2026-07-22 06:51:14
3
mtenda85
Mtenda :
unaposema laki, milioni na nusu kuwa 50000,au 500 000 ni kwa sababu umeanza malaki, au mamilioni hivyo nusu yake itakuwa hivyo kwenye uzito tunaichukulia kweny kg 1
2026-07-22 04:27:15
6
sharifunuru666
🎄SHARIFU NURU💫 :
upo sahihi jirani yangu badebe
2026-07-22 02:48:32
11
willymngale
willymngale :
Tulivyo zoea mtaani mkojani yupo sahh Yani hata utajiwe milioni tisini natisa na nusu sisi tumezoea ni milioni tisini natisa na lakitano, Ila madebe anamaanisha nusu ya hela nzima swali ambalo hatayeye hawezi kulijibu kutokana na mazoea ya mtaani.
2026-07-22 13:50:55
1
biliget5
Biliget :
kapata mkojani
2026-07-22 10:05:01
1
user5972702703014
pili ligambe :
ipo dukan
2026-07-21 22:44:40
4
hussein_yusuph
hussein_yh :
Haya ni million mbili na robo. Tuishi hapo
2026-07-22 05:43:20
2
user3402807410691
Masha :
Hapo ni milioni 2 na nusu ya milioni..ndio io laki 5
2026-07-22 05:34:49
0
kibamond77
Kibamond77 :
Sababu ni kwa sababu *"nusu" inahusika na milioni 1*, sio laki. Angalia hivi: *Milioni mbili na nusu* = *Milioni 2* + *Nusu ya milioni 1* = 2,000,000 + 500,000 = *2,500,000 TZS* Watu wengi hupata mkanganyiko hapa. Wengine hufikiri "na nusu" = laki 5, lakini hapana. "Nusu" bila kutaja laki inamaanisha nusu ya milioni = 500,000.
2026-07-22 06:43:00
2
mullahjamal
CEO kimla building company :
hapana wew hauzungumzii nusu ya milioni2 umeuliza kwanini milioni mbili nalaki tano nimilioni mbili nanusu wakati nusu ya milioni ni laki tano ,milioni nikitu kizima kwahyo kila ikifika milioni nikitu kizima kwahyo milioni2 hiyo laki tano ni nusu ya milioni
2026-07-22 03:28:33
3
juma.makaya
JUMA MAKAYA :
umeuwa
2026-07-22 04:00:37
1
chidwanaman
vermpare point :
ni m mbili kamili na nusu ya milioni ambayo ni Lk5
2026-07-22 06:27:27
1
user9611375757815
mama precious :
kapata
2026-07-22 04:35:44
1
mwalim_11
Alpher Mike :
Me Nina elfu moja na nusu mfukoni saa hii😎
2026-07-22 05:31:09
1
user1813308328486
071624 :
Nusu ya Million mbili😁😁😁
2026-07-22 06:08:30
1
kamugisha466
kamugisha :
tarifa
2026-07-22 03:05:18
2
user9357377374736
SIMBA LANGILA :
nusu ya milioni 2 inaitwaje ? sasa hiyo 5 inakuaje ni nusu jaman
2026-07-22 04:49:29
1
johnuser1447801124216
Brack voice :
mkojan faza naqubar kinyam
2026-07-21 23:10:37
1
shabanistimaalmas
⭐️StimaTV🔥📺📡 :
exactly mwambie huyo
2026-07-22 03:31:53
1
user4886982399142
keyvanny dangote :
mkojan kapata
2026-07-22 13:35:56
1
kaskiomaofficiel
KIOMA OG :
nusu ni mkato mfano 0,5 1,500 1,500,000
2026-07-22 16:09:23
0
mo.zain579
Mo Zain :
MKOJANI AMEPATA...NA JIBU SAHIHI NI HILI JINSI YA KUHESABU NAMBA NI (MAMOJA.HESABU HII MWISHO NIKUMI NA NUSU YAKE NI TANO)(KISHA KUNA MAKUMI HESABU HII NI KUANZIA KUMI MPAKA MIA AMBAYO NUSU YAKE NI HAMSINI)KISHA KUNA MAELFU HESABU HII MWISHO WAKE NI LAKI NA NUSU YAKE NI ELFU HAMSINI)(KISHA KUNA MALAKI HESABU HII MWISHO WAKE NI MILIONI NUSU YAKE NI LAKI TANO) HAIWEZEKANI MILIONI MOJA NA ELFU HAMSINI UKAITA MILIONI NA NUSU SABABU ELFU HAMSINI IPO KWENYE HESABU YA MAELFU
2026-07-22 14:29:28
0
hurray.04
hurray.04 :
Nusu inayo ongelewa sio ya kukamilisasha milion mbili mkojan kapata nusu iliyotaja ni yakile kito kilicho kua bado hakija kamilika
2026-07-22 16:00:39
0
abubakarkona1
Bui lato :
amekosa
2026-07-22 15:08:42
0
To see more videos from user @lidai388, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About