@dr_imma_01: 👶🤧 Mtoto mchanga akiziba pua, saline nasal drops zinaweza kusaidia kulainisha ute na kurahisisha mtoto kupumua na kunyonya. Ni muhimu kutumia kwa usahihi na kufuata maelekezo ya mtaalamu wa afya. ⚠️ Mtoto akiwa anapumua kwa shida au ana dalili kali, mpeleke kituo cha afya haraka. #AfyaYaMtoto #MtotoMchanga #SalineNasalDrops #ElimuYaAfya #dr_imma_01
dr_imma_01
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 12:37:12 GMT
Music
Download
Comments
pato :
wangu anakoloma kwa kifua
2026-07-24 18:16:37
0
Mumy Gracious🥰 :
mm hayamban ila yapo tuu mafua naamua kuyanyonya yanatoka
2026-08-03 15:28:15
1
user74544061763441 :
wangu sasa tumefika kwenye mivuke naumia roho yani Mungu amkumbuke tu
2026-07-24 18:39:51
0
Vaileth Keya :
Jaman wangu leo ni mwaka sasa anatumia hyo dawa ni kama inampa nafuu tu ila hali haiishi moja kwa moja.Hamna namna nyingine?
2026-08-31 09:48:25
0
salome laban :
me mwanangu nimemzaa na mafua mpaka sasa ana week tatu lakn bado
2026-08-02 19:40:11
0
MOM🌹BRIANNA🤱❤️🩷 :
Mi wangu akimaliza tu kunyonya ana beua na kucheuwa maziwa yote nashindwa kuelewa shida n nn
2026-08-18 14:32:05
1
Gifty :
tafadhal na shida naww private
2026-08-16 19:09:50
0
saydaty makuya :
mi ndo dawa ya mwanangu akibanwa tu namdondoshea
2026-07-22 06:02:24
2
Monicaog :
mtt wangu ananyama za pua
2026-10-02 18:54:22
0
dija :
nashukulu somo nimelielewa mtt wangu anasumbuwa sana
2026-08-23 16:33:46
1
MISS G🥰 :
Asante sana
2026-09-17 14:20:36
0
aisha asady :
mimi nilitumuaa abnal wiki sasa haimsaidii chochotee
2026-07-25 12:37:23
2
Diana Jacob :
nimeitumia ni nzur sana kwa mtoto
2026-07-23 14:45:58
2
Mamy sr :
jaman wangu huu ni mwez wa pili sasa mafua yanamsumbua
2026-07-21 20:27:58
0
vee&& :
nilitumia hyo haikusaidia
2026-07-23 15:46:45
0
aliwatani :
Wangu anamafua Lakin hayatoki hata akipig chafya Ana week 3
2026-08-01 17:44:59
1
Rukia Raphael :
🙏
2026-07-22 07:32:03
1
IQrah :
🙏🙏🙏
2026-07-29 19:16:00
0
mamcute :
😳😳😳
2026-09-03 11:48:01
0
To see more videos from user @dr_imma_01, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.