@bakarially30: Marekani inahitaji zaidi ya billion 67 ili kuweza kukabiana na Iran vinginevyo watasimamisha vita mwishoni mwa mwezi huu#tanzaniantiktok🇹🇿 #congolaise🇨🇩 #kenyantiktok🇰🇪 #burunditiktok🇧🇮 #rwandatiktok🇷🇼
hivi hasara anayo.pata Irani ya kupoteza miundombinu na kuuliwa kwa viongozi wake wengi vile bado hui oni
2026-07-22 08:18:17
1
lion jungle :
siwanachapisha pesa dola
2026-07-21 15:16:13
1
bumbuli :
Hao wanajeshi wakubwa wa huko inabidi wakae na trump wamuulize anachopigania ni nini?
maana ametoka kwenye lengo lakubadilisha uongozi wa iran ameingia kwenye lengo ambalo halikuwepo yaani lengo limebadilika juu kwa juu 😆😆
kiasi kwamba Iran hata wakisema waachie hormuz na vita nadhani vinaisha.
2026-07-21 14:45:33
5
kijukuu24 :
good
2026-07-21 20:41:13
1
vaps49 :
USA ana hasara vifo na chuki nyumbani. Pesa anapewa na waajiri wake GCC, nchi za kifalme. Hizo maneno kuomba bajeti ni kuimarisha jeshi lao.
2026-07-21 15:01:50
2
Khalypha :
vita imefikia pazuri mana maga kashikwa vilivyoo
2026-07-21 15:10:28
4
clever9 :
kwaiyo wanapigana then wakiona hali mbaya wana pause then wakiwa sawa tena wanakiamsha
2026-07-21 15:03:31
3
aziz mkumbo :
kwanini wasimfukuze trump madarakani
2026-07-21 20:05:10
1
manana :
mmarekani ni chucking tu awareness na Iran
2026-07-21 15:35:37
1
futolu :
dola haichapi shwi marekan
2026-07-21 14:24:42
1
halisia :
2026-07-21 17:27:38
1
mkali-suma :
lkn fedha c wanatengeneza wenywe hawa
2026-07-21 20:27:40
1
RUBE :
sw
2026-07-21 21:43:03
1
Papy Mnyama :
Kambi za marekani hazitoki na hii vita marekani ata pigana mpka ata angusha seliikali ya.irani
2026-07-22 08:22:07
1
aziz mkumbo :
safari hii hakuna kusizi faya wala nini
2026-07-21 20:07:23
1
asma mau ✨✨ :
2026-07-21 15:55:44
1
♥️sahlad♥️ :
sawa tu
2026-07-21 16:57:16
1
ndogodjadja 🥰officiel :
poa
2026-07-21 13:58:00
1
thuweinriyamy :
Amani haiji mashariki ya kati mpaka waarabu waziondoe kabisa base za kimarekani
2026-07-21 19:15:00
1
Anonymity :
pazuri hapo kk
2026-07-21 16:59:23
3
Mi_PeCaDo 🍎 🤣 :
upotoshaji marekani tangu lini ulisikia inapata tatizo la fedha nchi inayochapisha dolla acha kuwadanganya
2026-07-21 13:21:50
1
hansking783 :
watanyooka tu
2026-07-22 07:19:55
1
To see more videos from user @bakarially30, please go to the Tikwm
homepage.