kuna ingine ilitoka hizi buttons za kuwasha,nikaipeleka kwa fundi
akaniekea tuwire hapo na ju sikutaka kuenda kulala bila simu,nikamwambia anipee tu nitairudisha badae...hiyo simu tangu hiyo siku nilikua naguzanisha hizo wire simu inawaka😭😂
nilikaa nayo mwaka moja na nusu na hizo wire tu,after some time charging system ikaaribika,nikakata wire za charger,so simu ikizims charge nilikua natoa battery nafungilia hizo wire za charger kwa terminals za battery alafu naconnect charger kwa socket battery inajaa moto😂😂😂😂
it was an Itel phone 😭
2026-07-22 14:10:44
276
️ :
Na sisi wa itel😭😭
2026-07-22 07:12:58
75
To see more videos from user @ma2ndaaa, please go to the Tikwm
homepage.