@dida_hass: true story #mombasatiktokers #fyp

💕❤️dida_hass❤️💕
💕❤️dida_hass❤️💕
Open In TikTok:
Region: SA
Tuesday 21 July 2026 12:50:19 GMT
52269
2000
119
143

Music

Download

Comments

jullianguarvian3
Maryam Khan :
You kinda sound like BossChunare
2026-07-21 20:45:10
2
maria.uchi
Maria Uchi :
am proud to be a duruma,
2026-07-22 06:26:14
2
starsha06
Starsha🇰🇪🇰🇪 :
sijui Kwa nn watu wengi hawapendi Kabila la kiduruma walai jamani Na ndio Kabila lenye wanawake wenye bidii
2026-07-22 06:23:48
38
abdiyussuf764
A.B :
Duruma,best people from Pwani. from A Somali brother.
2026-07-22 10:39:15
16
halimazakaria22
MKE WA MUMEANGU :
Yani mm niache kabila yngu ju ya mume, nijikuteee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Ni mduruma mm ta pindiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-21 19:50:23
27
hudheyfanassir
hudheyfanassir :
mambo ya ukabila yalipitwa na wakati....muhimu ni dini
2026-07-21 22:00:43
35
josephgambo448
josephgambo448 :
Kwani kuna watu bado wanachaguliwa mabibi wakuoa na wazazi wao
2026-07-21 21:47:01
12
mimah7147
M💜m💜h💜 :
Sisi waduruma tuna nn jaman😅
2026-07-21 15:30:22
13
real_adhrente
ㅓㄷㅎㄲㅓㄴㅌㅓ  :
Niulize ela huyo si wewe😂😂😂😂
2026-07-21 23:07:05
9
umazi.nyae
Umazi Nyae :
waduruma we're very much proud na kila tuingiapo lazima tujitambulishe🤣🤣🤣
2026-07-21 17:31:23
10
salmasanj1
🦋️Sanji💅🤴 :
kwani waduruma tuna nini jamani
2026-07-21 20:56:21
6
user42659382
bin balack13 :
miaka hamsin iliyopita🤣🤣🤣
2026-07-22 00:12:05
3
3l___amoore
🌹بنت قاسم عمر💞 :
tumeacha hizo jmny😅
2026-07-22 03:50:47
3
galby519
Galby :
am oromo bt nime oleka nam duruma much love 🥰
2026-07-22 20:47:36
3
it.yourgirl.aryum
Twinkle_tulip💝 :
😭
2026-07-22 12:06:20
1
chimamycharles
Chimamy Charles :
ulikuwa wapi kipenzi changu nimekumiss kweli 💝💝💝
2026-07-22 20:21:45
1
mbeyu92
kamamaa❤❤❤ :
Jamani waduruma tulikosea wap🤣🤣🤣🤣
2026-07-21 20:06:31
4
naylahsdollhouse1
Barbie💖🎀💎 :
Sasa kabila inahusiana nn surely 😂😂😂
2026-07-22 08:31:32
4
fatmafaizaabdalla
Rudainah :
😄😄😄..na sijui kwa nn tukipenda hizi kabila home hawakubaliwi..
2026-07-21 17:49:25
5
user3362790262178
user3362790262178 mwamkala :
mm na singa ni masai na nguo
2026-07-21 22:02:31
2
www.dr.rujo.001
Doctor Babu :
Mapenzi kayana kabila
2026-07-21 19:48:39
4
toto.la.mama09
ToTo La MaMa 💕💞 :
mameeee😂😂
2026-07-21 20:03:56
3
da.zai79
Da zai :
😂😂😂 uzuri sisi waduruma twajikubali Alhamdhullilah kwa hapo
2026-07-22 16:39:41
1
more13376
MORE :
Dida we kabila gni nishakupenda nataka nitoe taarifa nyumbani 😂😂😂
2026-07-21 20:22:25
4
user5198258109665
user5198258109665 Queen lizy :
mm ssa niache kabila yangu juu ya mume,kwa kuwa yye n Mungu ama
2026-07-21 22:16:16
4
To see more videos from user @dida_hass, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About