@bellatvonline: "BINTI AMWAGA MACHOZI AKISHUHUDIA MCHUMBA WAKE AKISIMIKWA RASMI KUWA PADRI BAADA YA KUITIKIA WITO"

Bella Online Tv
Bella Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 13:13:10 GMT
435552
12935
336
871

Music

Download

Comments

richard.official28
richard.official tz rs :
na yeye awe sister
2026-08-01 05:13:53
0
jenniferjovin52
jenny♥️ :
nimevaa Kiatu chake navyo kwambia ivi nimelia usiku kucha
2026-07-22 05:56:11
224
123enock75
@123Enock :
kwahyo na padri alikuwa kwenye mahusiano ❓❓❓❓
2026-07-22 05:46:17
185
jose00jy7
jy :
hii ilishanitokea dem dakika za jion et anaenda kusomea usister🙌
2026-07-22 08:05:20
87
grasianatarimo
Tarimo's daughter💖 :
No naona wengi amjaelewa huo ni kaka yake na kilichomfanya alie siku hiyo ni kwamba ukishakuwa padre unaenda kupangiwa eneo lingine kufanya utume mbali na nyumban kwenu na japo kuonana na familia Huwa ni nadra na kingine pia ni machozi ya furaha akiwaza mda aliosomea upadre mpaka amepata Huwa unachukua kipindi kirefu
2026-07-22 13:01:14
81
eddi.e74
eddi.e3901 :
mbn me sister na nna mme
2026-07-22 11:24:25
4
adelinasebastian5
Adelina Sebastiani :
una uhakika kwel kama ndo kitu kinamliza??
2026-07-21 21:09:02
54
jonathankadovela
Kadovelaofficial :
asijal maana na Mimi ni padri lakini Nina mke
2026-07-22 09:28:48
15
octavianbuberwa
Sir Bube :
acha kabisa yalishanipata haya, AKAWA sista
2026-08-01 11:21:10
1
agatha_imani
Agatha_Imani❤️ :
Ni kaka yake acheni uchafuzi hayo ni machoz ya furaha
2026-07-22 08:17:37
12
febeherman
Miss F♥️ :
na yeye awe sister
2026-07-22 06:02:35
10
itslucy258
it's Lucy🎀 :
naend kuwa sister tun kutn huk huk😅
2026-07-25 09:16:24
1
marysrevo
Mary S Revo :
hiyo story nimefatilia siyo mchumba ila ni kaka yake wa pekee nway sio mbaya mtu kumlilia mchumba wake hata akikuaacha akaowa mwanamke mwingine inauma pia
2026-07-22 06:41:21
10
catherineregard
Catherine Regnard♥️ :
nimejaribu kuvaa viatu hv nmelia had TikTok yangu imeloa machoz
2026-07-22 18:09:20
7
gallos.charles8
gallos charles :
Nayeye awe sister
2026-07-21 20:10:36
18
mujunijr_2444
eladiuscleophace(mujuni jr) :
umejuaje kuwa alikuwa mchumba wake
2026-07-22 15:30:02
5
mkinga.og0
Barbara’s :
Mungu kwanza 🥰
2026-07-30 11:36:43
3
user5560755381935
SIGWINA :
Sio sawa kuchafuana hivyo mimi mwenyewe dadaangu alivyokuwa akifunga nadhiri nilimwaga machoz yamaana namaanisha nifuraha iliyopitiliza
2026-07-22 09:02:57
7
agnes.kimoge
Agnes Kimoge :
uwongo nilikua nalia kutokana namatendo makuu yabwana
2026-07-22 06:08:47
6
user2122510592846
sweel lo :
muombee Utumishi mwema ,hayo mengine achana nayo mdogo wangu
2026-07-21 20:10:23
7
gee77590
gee :
😁😁😁hii imewah kunikuta
2026-07-22 09:04:59
2
enesiajohn
segito :
jamani pole,mchumba kajiamulia mambo
2026-07-22 10:39:28
1
2001_gift.com
giftmranga :
hizi media uchwara
2026-07-22 05:31:23
5
user4101737461369
miky966 :
hiiiii imekaaajeee
2026-07-22 09:02:38
3
pascalsospeter7
pascalsospeter7 :
😭😭
2026-07-22 05:36:09
2
To see more videos from user @bellatvonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About