@junefx27: hivi ndivyo internet inavyosafiri kutoka mbali Hadi kukufikia kwenye simu yako this is how the internet travel from data centers to your phone #internet #fiber #fiberinternet #celltower

junefx
junefx
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 13:27:37 GMT
25663
1897
72
42

Music

Download

Comments

henjewele74
Henjewele74 :
aaaah aisee umetisha mzee wngu
2026-07-22 14:38:36
0
dancha_official2
@Mr Dancha🔥 :
umetish sn brother.
2026-07-22 16:11:08
0
bill_picha_arts
Bill_Picha_Arts :
je star link ya elon mask inafanayje kazi
2026-07-21 18:12:46
5
mohbad.61
mohbad :
wao wana zitoa wapi ss
2026-07-22 15:53:42
0
salim.nkuzi61
Salim Nkuzi :
💯
2026-07-22 09:08:05
0
kevin.shega
Kevin Shega :
oya wé tusome mambo ya ict saiz ndio ulimwengu unatutaka
2026-07-21 14:03:06
2
abdallah_marabiosh
abdallah_selemani kisasu :
Sasa mbona tukiwa baharini hatupati network?
2026-07-21 16:55:55
1
famo.sn
famo :
unetisha
2026-07-21 14:03:33
1
chedo.1
CHEDO :
Madini muhumu sana hayo umetisha kaka
2026-07-21 17:24:50
1
eagle_mindset6
𝗳𝗴 🦅 :
Kazi nzuri brother 🔥👍
2026-07-22 08:41:40
0
netwon149
netwon1 :
tuko pamoja mkuu lete madini
2026-07-21 16:23:00
0
chonaatz
Chonaatz :
Basi bas babaaaa😂 umeuwa umeuwa sana
2026-07-21 17:37:42
0
dott2026
4D familia :
hakika ndio maana naipenda ict najifunza vingi sana
2026-07-21 15:32:33
0
unwantedguest10
Msomaji kesi. :
tuko pamoja mkuu lete midini
2026-07-21 16:04:55
0
mchager_
faith daddy & momy :
nomaa
2026-07-21 14:37:33
0
master17446
Master :
2026-07-22 14:32:03
0
ole.nargao.0034
OLE NARGAO 0034 :
ndio
2026-07-22 16:03:29
0
master17446
Master :
asante sanaaaasss 👍
2026-07-22 14:30:59
0
bross_channy_tz
Jay Bross :
Leo ndo nimejua mm nilizani ni satelite tu sema bro wew technologia unaifatilia xn
2026-07-21 13:48:33
2
gmmaspta
G.masapta :
umetisha boe
2026-07-22 15:43:48
0
mazagazaga31
mazagazaga :
umetisha je nch ambazo azina bahari utumia nin
2026-07-22 15:49:39
0
hancy_boy255
Hancy Boy ☑️ :
Inaitwa Sea Come Internet 🛜
2026-07-22 15:20:12
0
master17446
Master :
2026-07-22 14:32:03
0
To see more videos from user @junefx27, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About