@vkbmedia: ๐…๐„๐ˆ๐“๐Ž๐“๐Ž โžก ๐’๐ˆ๐Œ๐๐€ ๐’๐‚ Hii ni moja ya ndoto kubwa za mashabiki wa klabu ya Simba kuhusu kiungo fundi wa boli Feisal Salum Abdallah kutoa mtaani kwao Msimbazi Hii ni tetesi ambayo haijafanikiwa mpaka sasa licha ya maneno mengi kwa zaidi ya misimu miwili ya kuhusishwa kwa Feitoto kwenda Azam Je ungetamani kumuona Feitoto akiwa mnyama? #VKBMediaUpdates

Van Kahise
Van Kahise
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 July 2026 13:34:29 GMT
16847
718
25
12

Music

Download

Comments

user0658146015
ossea the boy :
kaka natunza jina la akaunti yako feitoto akitua viunga vya msimbaz nitakufollow๐Ÿซด
2026-07-25 09:12:41
1
zainab.jabir85
Zay collection ๐Ÿฅ€ :
Wow
2026-07-21 16:22:50
0
ndamajeuli6.0695241188
Ndamajeuli :
๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
2026-07-21 20:13:51
0
zainabually013
Zainabu ally :
mashallah
2026-07-23 20:19:05
0
france.joshua
France joshua :
Tumewazoea kama wimbo wataifa.
2026-07-22 00:42:13
0
user27502835815210
betterhelthvibe :
woyooooooooooooooooooo
2026-07-21 16:20:01
0
mwana.swalehe5
mrs manta :
Hii ya mwaka gani
2026-07-22 12:37:32
0
user6733587869473
Sophia tz :
sio kweri anarudi yanga
2026-07-22 06:48:37
1
ashasaidi89
user6987195166163 :
nimeipenda hiyo ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
2026-07-23 18:07:20
0
merry57522
merry :
kweli
2026-07-21 20:28:39
0
user11637824772296
Monica T.G :
mbona wanapost hivo hivo
2026-07-22 10:29:09
0
kabisu.bungara
Kabisu Bungara :
Tajir amekasirika jamaniโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
2026-07-22 12:07:35
1
lulupelement3
Lulu pelement :
sio mala moja Ana husishwa na Simba Fei Atakuja simba lakn sio msimu huuu Tusitiane moyo kwa vitu visivyo sahihi
2026-07-21 14:50:47
0
waziriambrose
King Shetemba๐Ÿ‘‘๐Ÿ‘‘ :
feitoto akiuzwa simba lazima yanga wapewe b1 sasa piga kelele tuu
2026-07-21 15:49:26
0
jumakagoma7
jumakagoma7 :
hamna lolote yanga bingwa mala zote
2026-07-22 03:06:58
0
user1995622372100
peter kway@18 :
kama unaamini usipite bure
2026-07-25 12:17:01
0
saidmuhammed605
Said Muhammed :
usidanganye watu.
2026-07-21 16:14:53
0
lucasmetui363
Lucas Metui :
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
2026-07-22 18:20:56
0
pk.khan.002
pk Khan 002 :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-07-22 11:30:08
0
user2030273449917
3892 :
๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
2026-07-22 11:37:19
0
nicco.507900
C.E.O ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ’ž :
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
2026-07-21 14:51:15
1
junior.simba5
Junior Simba :
โค๏ธโค๏ธโค๏ธ
2026-07-24 07:45:03
0
To see more videos from user @vkbmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About